Recent content by Peace and kindness

  1. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Hizo nimifumo ya kazi au taratibu za kazi Kama kazi zingine. Dalali anauwezo wakusimamia kwa niaba ya wote. Wewe mwenye shida ya kupata nyumba na mwenye shida ya kupata mpangaji. Dalali anakua keshawahudumia wote na kwa hiyo huduma anahitajika kulipwa. Mtu angaike kukutafutia wewe sehemu yakukaa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Itakua katendwa sii bure..Maswali yangu hajibu. Unapewa elimu unaanza kutoa lugha chafu. Jiheshimu wewe! Madalali hulipa 600,000 Kodi kwa mwaka. Wengi wenu mmeshajiwekea kichwani kwamba udalali sii kazi..tatizo liliopo nikwamba fani ya udalali imeingiliwa na ambao sio fani Yao Ni Kama manabii...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Tafsiri ya dalali Ni mtu anayesimama badala ya mwenye Mali. Yaani mwenye Mali ndio anajukumu la kumlipa dalali na katika zone nyingine mwenye kutafuta pia anajukumu la kumlipa dalali kulingana na mlivyokubaliana. Mimi na experience ya kufanya kazi na agents kwaiyo naelewa umuhimu wao. wakala wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Huo Ni mtazamo wako wewe wenye nyumba wengi wanalipa commission ya dalali asiliimia kumi muwache kuwanyanyapaa na hawalalamiki wanao lalamikA Ni wale wanaopenda kufanyiwa huduma za bure. Dalali maanasheria na daktari wote sawa kwasababu hutoa huduma yaani( service.) Wote wako kwenye service...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Wenye majengo wengi hawana mda huo wengine wanataka taarifa ya nyumba iwafikie wengi kuweka tu bango haitoshi maana utakua ume target watu wa mtaani kwako tu pia mwenye nyumba huokoa hela nyingi ya matangazo. Shida Ni dalali analipwa hela ndefu wewe ulitaka alipwe ngapi ? Maanasheria analipwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Nadhani wengi hawajui maana ya dalali Ni Nini? Dalali Ni mtu anayesimama kwa niaba ya mwenye nyumba, mwenye mazao, mwenye bidhaa flani (middle men ) Ila tafsiri hubadilika katika kila sector lakini kitu Ni kilekile
  7. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Mtaji wao Ni taarifa..kwamba sehemu flani Kuna nyumba. Wewe huo mtaji au maarifa huna mtaji wao Ni muda...wewe huo mda wakutafuta nyumba huna, wengine Wana maofisi..ndio maana ukatafuta dalali na kaa ukijua sio kila siku au kila mwezi dalali anapata pesa ndio maana commission ya mwezi mmoja au...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Mimi sio dalali lakini sioni tatizo Kwa wale ambao Ni madalali. Mawakala wa tigo pesa wanaolipwa commission kwakutuma na kutoa pesa hao sio madalali wa tigo??
  9. P

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Ni biashara Kama biashara zingine...mbona ata ukinunua bakuli la 30,000 kariakoo ukilikuta masaki Ni 170,000 mbona Hilo ulioni tatizo?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi ukiwaulizia bidhaa ambayo hana anakasirika

    Kitu kinaitwa customer service hapa kwetu Ni ndoto...sanasana wakishajua wateja wao Ni wengi Basi jeuri inazidi wanajibu wanavyotaka.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Unamkufuru vipi mungu Kama mungu ndie anayesababisha wao kua matajiri...au unadhani huo utajiri unakujaje..Ni kwasababu mungu keshapitisha hiyo hali..wanafanya mengi mazuri kutojenga kanisa isiwe kisingizio
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa hauna pesa unadharaulika?

    Inategemea umefanya Nini mpaka wamekudharau. Kuna mtu unakuta Ana nguvu kabisa lakini kazi hataki yaani hafanyi juhudi za kupata kazi Apo ata Mimi ningekudharau maana unakua mzigo kwa wenzio na familia. Au unakuta ata kazi za nyumbani mtu hasaidii. Makanisa pia huendeshwa na pesa...kwaiyo Kama...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Sidhani, nikutokujua ABC za biashara yako. Frem zinatofautiana Bei kutokana na eneo fremu ipo na ukubwa was fremu. Pia gharama za ujenzi pia zipo juu na frem Ni biashara pia inaitwa Real estate..unaweza Jenga frem sehemu ya ovyo na usipate wapangaji Apo utasingizia Nini..?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi itozwe kodi

    Hii yote inaonyesha jinsi tunataka na kupenda kuishi Maisha juu ya uwezo wetu. Mtu kazini anamshahara wa laki nne anataka harusi ya milioni 80 vitu ambavyo havileti maana Wala uhalisia.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

    Watangazaji kufanya hoja muhimu mzahamzaha...mtu kafa wanataka waifanyie comedy hiyo taarifa...alafu Hawa watangazaji wengi hawana tabia ya kusoma Wala kusikiliza taarifa ya habari.. hawajui kinachoendelea duniani..wao zaidi ya kuingia insta sijui Kama wanavyanzo vingine vya kupata taarifa na...
Back
Top Bottom