Michango ya harusi itozwe kodi

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Najua wako wataniunga na wako watanipinga lakini ujumbe wangu utakuwa umepenya masikioni.

Nafahamu kisheria mtu hawezi kwa shida zake akajichukulia likaratasi refu au akazunguka mjini kuchangisha watu kwa sababu flani au njaa zake bila kupata kibali na mhuri kutoka sehemu husika za kiserikali.

Watanzania tofauti na nchi zingine kama Kenya tuna tabia ya kuchangishana harusi kuliko mambo ya kimaendeleo mfano kumchangia harambee mgonjwa au mtoto wa flani asiye na uwezo kwenda shule huo unakuwa mzigo wako usiye na uwezo.

Unakuta kwa mwezi mmoja mtu ana kadi 5 na unaambiwa wewe ni ndugu wa karibu usitoe chini ya laki5.Kwa maana hiyo 2m kwa mwezi huo.

Ajabu pengine harusi utasikia imegharimu 30m na baada ya harusi utasikia watu wanasifia watu walikunywa sana pombe.Unakuta mdogo wa bwana harusi Karudishwa nyumbani kwa kukosa ada.

Moja ya mambo yanayorudisha maendeleo nyuma ni kama haya wazungu kuendelea kwao hawaendekezi ujinga wa aina hii.

Swala la kuoa mke ni la bwana harusi mwenyewe pengine angalau na baba yake kama ana uwezo.Kwanini uoe kama unashindwa kushona suti yako,shela la bibi harusi,kulipa mahari,au angalau kuwalisha watu 50 kwa hela yako vinywaji anayetaka kunywa anunue mwenyewe counter siku ya harusi?

Nisitoke nje ya maudhui nashauri TRA watoze kodi michango ya harusi na kabla ya kuchangisha kitolewe kibali kwanza harusi ni chanzo kizuri sana cha mapato.Hii itatufanya watanzania tubadilike.

Michango pekee ya kufumbia macho ni ya misiba mana ni mambo ya huzuni.Mingine sadaka za nyumba za ibada.
 
Hapana ila babamkwe atozwe VAT.
 
Wewe kisheria ni nani anatakiwa kutoa kodi? Ukinijibu hili swali ndio nitajua uelewa wako juu ya masuala ya kodi.
 
Michango ya harusi inatutesa sana, yaani mtu hujakutana nae zaidi ya mwaka lkn siku akitaka kuoa eti anakutafuta. Me nadhani ifikie wakati suala la ndoa libaki kwa wanandoa tu, kipato chao kitaamua ni harusi ya namna gani wanahitaji.
 
Najua wako wataniunga na wako watanipinga lakini ujumbe wangu utakuwa umepenya masikioni.
Nafahamu kisheria mtu hawezi kwa shida zake akajichukulia likaratasi refu au akazunguka mjini kuchangisha watu kwa sababu flani au njaa zake bila kupata kibali na mhuri kutoka sehemu husika za kiserikali.
Watanzania tofauti na nchi zingine kama Kenya tuna tabia ya kuchangishana harusi kuliko mambo ya kimaendeleo mfano kumchangia harambee mgonjwa au mtoto wa flani asiye na uwezo kwenda shule huo unakuwa mzigo wako usiye na uwezo.
Unakuta kwa mwezi mmoja mtu ana kadi 5 na unaambiwa wewe ni ndugu wa karibu usitoe chini ya laki5.Kwa maana hiyo 2m kwa mwezi huo.
Ajabu pengine harusi utasikia imegharimu 30m na baada ya harusi utasikia watu wanasifia watu walikunywa sana pombe.Unakuta mdogo wa bwana harusi Karudishwa nyumbani kwa kukosa ada.
Moja ya mambo yanayorudisha maendeleo nyuma ni kama haya wazungu kuendelea kwao hawaendekezi ujinga wa aina hii.
Swala la kuoa mke ni la bwana harusi mwenyewe pengine angalau na baba yake kama ana uwezo.Kwanini uoe kama unashindwa kushona suti yako,shela la bibi harusi,kulipa mahari,au angalau kuwalisha watu 50 kwa hela yako vinywaji anayetaka kunywa anunue mwenyewe counter siku ya harusi?
Nisitoke nje ya maudhui nashauri TRA watoze kodi michango ya harusi na kabla ya kuchangisha kitolewe kibali kwanza harusi ni chanzo kizuri sana cha mapato.Hii itatufanya watanzania tubadilike.
Michango pekee ya kufumbia macho ni ya misiba mana ni mambo ya huzuni.Mingine sadaka za nyumba za ibada.
Oh hapana ,no,no,noo...why ,hiii kitu haukuanza Leo ,"mbikia".
 
Mwanaume Mzima unakuja wasema watu huku wakati umeipokea kwa mikono yako hyo kadi. Kwanini usiikatae kuliko kupokea afu unakuja lia
 
Kama mtaji unatozwa kodi na mchango wa harusi basi utatozwa.

Wenzako wenye akili walikuja na wazo MaMC na kumbi za starehe ndio ziwe zinatozwa kodi.
 
Najua wako wataniunga na wako watanipinga lakini ujumbe wangu utakuwa umepenya masikioni.
Nafahamu kisheria mtu hawezi kwa shida zake akajichukulia likaratasi refu au akazunguka mjini kuchangisha watu kwa sababu flani au njaa zake bila kupata kibali na mhuri kutoka sehemu husika za kiserikali.
Watanzania tofauti na nchi zingine kama Kenya tuna tabia ya kuchangishana harusi kuliko mambo ya kimaendeleo mfano kumchangia harambee mgonjwa au mtoto wa flani asiye na uwezo kwenda shule huo unakuwa mzigo wako usiye na uwezo.
Unakuta kwa mwezi mmoja mtu ana kadi 5 na unaambiwa wewe ni ndugu wa karibu usitoe chini ya laki5.Kwa maana hiyo 2m kwa mwezi huo.
Ajabu pengine harusi utasikia imegharimu 30m na baada ya harusi utasikia watu wanasifia watu walikunywa sana pombe.Unakuta mdogo wa bwana harusi Karudishwa nyumbani kwa kukosa ada.
Moja ya mambo yanayorudisha maendeleo nyuma ni kama haya wazungu kuendelea kwao hawaendekezi ujinga wa aina hii.
Swala la kuoa mke ni la bwana harusi mwenyewe pengine angalau na baba yake kama ana uwezo.Kwanini uoe kama unashindwa kushona suti yako,shela la bibi harusi,kulipa mahari,au angalau kuwalisha watu 50 kwa hela yako vinywaji anayetaka kunywa anunue mwenyewe counter siku ya harusi?
Nisitoke nje ya maudhui nashauri TRA watoze kodi michango ya harusi na kabla ya kuchangisha kitolewe kibali kwanza harusi ni chanzo kizuri sana cha mapato.Hii itatufanya watanzania tubadilike.
Michango pekee ya kufumbia macho ni ya misiba mana ni mambo ya huzuni.Mingine sadaka za nyumba za ibada.
Kodi haitozwi katika msaada!
 
Mkuu wanakamati watakushukia kama mwewe maana ndio sehemu yao ya upigaji.
 
Naunga mkono hoja. Tabia hii inakera sana! Mwezi mmoja nina kadi 5 kila moja nitoe elf 60. Kwa nn mwowaji asijipange ? Kama hana uwezo achukue mke kimyakimya alipie mahali! Mm nilishaapa sitoi mchango wa harusi na siku nikioa sihitaji mchango! Kanyagakanyaga
Hata mimi mkuu ni bora hiyo hela nikamnunulie zawadi kuliko kuchanga.
 
Najua wako wataniunga na wako watanipinga lakini ujumbe wangu utakuwa umepenya masikioni.

Nafahamu kisheria mtu hawezi kwa shida zake akajichukulia likaratasi refu au akazunguka mjini kuchangisha watu kwa sababu flani au njaa zake bila kupata kibali na mhuri kutoka sehemu husika za kiserikali.

Watanzania tofauti na nchi zingine kama Kenya tuna tabia ya kuchangishana harusi kuliko mambo ya kimaendeleo mfano kumchangia harambee mgonjwa au mtoto wa flani asiye na uwezo kwenda shule huo unakuwa mzigo wako usiye na uwezo.

Unakuta kwa mwezi mmoja mtu ana kadi 5 na unaambiwa wewe ni ndugu wa karibu usitoe chini ya laki5.Kwa maana hiyo 2m kwa mwezi huo.

Ajabu pengine harusi utasikia imegharimu 30m na baada ya harusi utasikia watu wanasifia watu walikunywa sana pombe.Unakuta mdogo wa bwana harusi Karudishwa nyumbani kwa kukosa ada.

Moja ya mambo yanayorudisha maendeleo nyuma ni kama haya wazungu kuendelea kwao hawaendekezi ujinga wa aina hii.

Swala la kuoa mke ni la bwana harusi mwenyewe pengine angalau na baba yake kama ana uwezo.Kwanini uoe kama unashindwa kushona suti yako,shela la bibi harusi,kulipa mahari,au angalau kuwalisha watu 50 kwa hela yako vinywaji anayetaka kunywa anunue mwenyewe counter siku ya harusi?

Nisitoke nje ya maudhui nashauri TRA watoze kodi michango ya harusi na kabla ya kuchangisha kitolewe kibali kwanza harusi ni chanzo kizuri sana cha mapato.Hii itatufanya watanzania tubadilike.

Michango pekee ya kufumbia macho ni ya misiba mana ni mambo ya huzuni.Mingine sadaka za nyumba za ibada.
Hii yote inaonyesha jinsi tunataka na kupenda kuishi Maisha juu ya uwezo wetu. Mtu kazini anamshahara wa laki nne anataka harusi ya milioni 80 vitu ambavyo havileti maana Wala uhalisia.
 
Back
Top Bottom