Recent content by pbTanzanBoy

  1. pbTanzanBoy

    Hakuna askari aliyebeba Bunduki!

    Kutokua na bunduki ina maana mbili Nchi haina silaha za kutosha. Ufisadi umezidi , budget ya ulinzi haiendi Kununua silaha za kulinda nchi Au wamemua kutotumia silaha. Mimi naamini Tanzania silaha hazitoshi. Kipindi cha uchaguzi29, wanajeshi kisingizio , hamna silaha Haijabadilika kabisa.
  2. pbTanzanBoy

    Maandamano ya Gen-Z: Ukimya unaonekana kama ushindi kwa watawala, lakini ukweli ni mwingine

    Jeshi limepoteza heshima. Hamna jeshi Tanzania. Niwasenge Tu. Walinzi wa CCM hao.
  3. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Utesaji unalivunjia heshima Taifa letu

    Ndo tulipofikia Hapa?. Inasikitisha
  4. pbTanzanBoy

    Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Jwtz wasenge Tu. Nyie mnadhani ni wanajeshi hao Mpaka nchi ikifika Hali mbaya ya kiuchumi Ndo mtajiongeza
  5. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Kimiti: Kuandamana siku ya Uhuru ni kumvunjia heshima Mwalimu J.K Nyerere

    Na Nyerere kafanya nini yeye ili awena heshima yangu? Nyerere alikuambinafsi basically Tu kwasababu timepewa independence ya kimagumashi ndotunamheshimu
  6. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Maandamano ya D9 yameshafanikiwa kwa 90%. Hata kama raia hawatatoka barabarani, lakini "Message Sent"

    Hicho ndo nilichokua na sema. They are already exposed. There is nothing they can do.
  7. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    Unataka kulinganisha netanyahu wa Israel ambayo mfadhiri wake ni marekani na Samia raid wa tanzania, nchi masikini. Unajisikiliza.
  8. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    Mjinga kabisa. Amewaambia ICC yeye Ndo aliagiza mauaji ya wananchi. Sasa hiyo tume ya uchunguzi ina kazi gani?
  9. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

    No distractions. Watu wasifocus kwenye maovu yalitokea nchini na kifocus kwenye story wanazotunga
  10. pbTanzanBoy

    Sheikh Pembe: Wanatuita chawa, hatuna PHD hatujasoma, ndani ya uislamu kuna kila kitu

    Hivi anajisikia kweli anachoongea Unamaanisha nini yaliopita sii ndweli. Watu wamekufa wengi sana kama wadudu na unasema yaliopita sindwele na unajiita mtumishi wa mungu/Allah HUu niushetani kabisa. Uporadhi kutetea mtu anaye kusponsor kuliko kukosoa mauaji. Hatuta elewana tukiendelea hivi
  11. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

    Wanajitahidi Sana kusukuma lawama kwa kila MTU lakini sio wenyewe. WAnataka maridhiano lakini hawa acknowledge mistakes. You can only fix mistakes you identify
  12. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Tumetumia excessive force kusababisha vifo zaidi ya 800, je isingetumika excessive force madhara yangekuwaje?

    Unavyoongea ni kama nyumba na biashara zote za kila wananchi zingechomwa Biashara , Mali na nyumba zilizochomwa zilikuwa za wanaccm. Wale waliokuwa wanataka advantage of the system
  13. pbTanzanBoy

    PostGE2025 Tumetumia excessive force kusababisha vifo zaidi ya 800, je isingetumika excessive force madhara yangekuwaje?

    POlisi Wana vifaa vya kudeal na waandamanaji bila kuuliwa kwa watu. Heck kama unashindwa kudeal na ' unarmed ' protestors bila kuua. Basi mafunzo yako nibure Pia tuna jeshi kwenye kila mkoa. Kila mkoa kaka yangu. Ambayo tunawalipa wanveweza kutuliza Amani. Kwanini unatetea wauaji. Mimi...
  14. pbTanzanBoy

    Rais Museveni ameona nilichoona, katika hili niko pamoja nae

    Umetoa argument nzuri lakini shida ni moja. Unadeflect from the point Point yako nzima inabase kwamba watu wameandamana kwasababu mwanaharakati wa nchi nyingine kamwambia kuandamana Lakini ngojea nikukumbushe. Watu wameandamana kwasababu ya utekaji na mauwaji ya watu wanaoipinga serekali na...
Back
Top Bottom