Bado kuna ombwe kubwa sana baina ya jitihada za kufanisi uchumi wataifa na jitihada za kuwekeza katika kilimo bora. Hatuwezi kupiga hatua ya kiuchumi bila kuwekeza katika kilimo bora. Awamu ya tano ilikuja na sera ya viwanda. Je vieanda vya aina gani? Malighafi za viwanda zinatoja wapi kama sio...
Sishangazwi sana na maneno ya Mwigulu. Kwakuwa huo ni kama utamaduni wa taifa hili. Imekuwa ni utamaduni wetu kuficha ukweli na kuwekahadharani ungo. Hili linathibitika hata katika historia zetu zilivyo fichwa. Tazama historia ya Vita vya Majimaji,historia ya Mkwawa, Historia ya Uhuru wa...
Hawa vijana wa Lumumba wanapata nini haswa kwa kuchapisha habari za uzushi? Haya sasa WB. Wamekanusha upuuzi wenu mliousambaza, kwaajili ya kusifia visivyostahili kusifiwa
Hiyo in aina nyingine ya upuuzi Wa nchi za kiafrika. Inakuwaje waingiliebuhuru Wa falagha ya mutu kwabkisingizio cha kupambana na Covid19 Kwanini wasitumie njia nyingine?
Nimecheka sana nilipogika mwishoni mwa waraka huu na kuona orodha ya vyama vilivyotoa hilo tamko.
Kwani hii ni kauli ya vyama vya siasa au kauli ya CHAMA CHA SIASA? Hebu acheni kucheza na akili zetu jamani.
Nampongeza sana mheshimiwa Maalim S.S.Hamad. kwa hotuba yake nzuri, hotuba ambayo ilipaswa kutolewa na yule mnywakahawa anae lala kwenyemawe kama mjusi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.