Recent content by Pazi na Jogoo

  1. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana Mikononi mwa Dkt. Christopher na Kilawa

    Kuna kitu nataka nisema,,,,,Au basi
  2. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Mtazamo wangu, kwanza kwa Haraka na uhakika vifo vya aina hii vinahusishwa na ushirikina moja kwa moja, nikimaanisha kwa watu hawa wanaoeleza kufa, kuzikwa na hatimaye kufufuka,,,,,tukumbuke uchawi ni dhana inayoishi, hivyo ukifuatilia kwa makini kutoka kwa Huyo mtoto wa geita na mwingine wa...
  3. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

    Watajwe, watumiaji pia wamo!
  4. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

    Wamasai saiv wanakunywa Energy hawa hawana madawa washakuwa vishoka!
  5. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

    Unajua ni kama kulipa kodi ya nyumba kisha ukafurahi na kujisahau kwa kuona umemkomesha mwenye nyumba wako kumbe badae utatakiwa kulipa tena kodi!
  6. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Huu muujiza wa maombi na mimi umenishtua

    Unachotaka kusema ni kwamba dunia hii haina watu wa aina hiyo mkuu???
  7. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Kwani wakati Ule wa Lugola si aliruhusu safari kufanyika usiku na mchana? Nani alitengua lile agizo?
  8. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Tovuti zenye maudhui ya ngono zaanza kupatikana tena kwa watumiaji walio Tanzania

    Hahaha, mkuu inatakiwa ujiapize ukiwa chooni, apa kisha kunywa maji alafu yateme kwenye shimo la choo yaende directly kwenye shimo,,,,,mi nilifanikiwa!
  9. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    Unajua wagonjwa waliopona ni wale walioamini kuwa wanaumwa, wakakubali matibabu na mwisho wakapona, sasa wewe mkundugu yangu hujaamini kama unaumwa hivyo ni ngumu kupona! Ili upone kubali kuwa unaumwa!
  10. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    Jina na Mungu muumba mbingu na nchi ni Jina kuu, huwa linaanza kwa herufi kubwa hata kama ni katikati ya sentensi. Sijui wewe unamsema Mungu gani, By the way watu wa aina yako walikufa kwenye vita ya maji maji,,,,wengine waliobaki wakafa kwenye vita ya kagera sijui uliponaje aiseee!
  11. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Ukibainika kwamba umetoa rushwa, ukibainika kwamba umepokea rushwa[emoji23] wazanaki wanasema manzi ganyanza wote wamekwenda na maji, , , , , ,
  12. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Mnaokataa Chato isiwe mkoa, kuna swali moja kwenu

    Ndiyo maana kuna ulazima wa kupata katiba mpya, siyo mtu anajiamulia tu kufanya jambo fulani na kesho tukiamka tunakuta jambo limetendeka!
  13. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Mambo kwa watangazaji wa hizi FM Radio ni finyu mno

    Taja hizo radio, au unaogopa kanuni??? Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  14. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Kwasababu ya Kwampalange na kwenye mtaro mimi Naungana na BASATA

    Hiyo kwa Mpalange mbona washaimba muda mrefu, kaimba Mwinjuma Muumini! Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  15. Pazi na Jogoo

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nimemkumbuka pia mganga wa pale Ukerewe, alimrudishia jamaa bida zake zilizoibiwa, aliwapa watu wapige kazi boda mpya 3 alafu wao wakajiona masonko wakatoroka nazo kila mtu akahama mkoa, kilichofuatia kila mmoja wao anakuja mbio kutoka huko alikokuwa anapiga mwano anamtafuta mwenye boda na...
Back
Top Bottom