Recent content by paurhoda

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndio elimu inayotolewa na International schools

    Waliokuwa wanafunga ndoa Geita/Simiyu hao wadawa walikuwa w anafanya kazi GGM! Hukuona au hakusoma?
  2. P

    JamiiForums Tanzania BoT wasema hawataingilia suala la riba za mikopo za mabenki!

    Jambo hili linakera. Benki Kuu ni regulator. Leo nchi hii kuna zaidi ya 60. Wingi wa Benki ungeleta competition among them, ambayo ni kampuni ya kiuchumi. Badala ya.ku compete yanakuwa na cartels za kututesa. The same ina apply kwenye huduma zote zilizoachiwa watu/makampuni binafsi. Regulators...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu Nigeria anisaidie, nina safari ya kuzulu huko

    Tafuta kitabu kinaitwa "The Trouble with Nigeria" cha Chinua Achebe. Kinaelezea kila kitu kuhusu Nigeria, wanigeria na watawala wao
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya fedha: Taasisi ya mikopo ya Pride Tanzania ipo taabani kifedha ikidaiwa kushindwa kujiendesha

    Walioanzisha Pride ndio hao hao walioanzisha NICOL.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo Dewji amshauri Kocha Omog aachie ngazi, Simba yavunja naye Mkataba

    Nadhani kule Adam kuna watu wanafahsmu mpira. Sio hawa wapiga dili wa Yanga na Simba. Walimfukuza Omog kwa ku "under perform ", wakamwaga wachezaji "mizigo" JB na SK,o Simba ikawadaka.In exchange ikamtimua (??) Ibrahim Ajib! Serembe wa Zanzibar Horoes.amezunguka karibuni nusu ya timu za VPL...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Wanaompaga CR7 zawadi ya mchezaji bora wa dunia huwa siwaelewi. Huwa wanaona kuwa Messi anacheza mpira wa safari hii? Hovyo kabisa!!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nabii Askofu Mwingira agoma Kupima DNA, ni katika kesi ya kuzaa na mke wa mtu

    Salaam aleikhum! Kisheria, mahakama unaweza kufanya, au kuagiza kufanyiwa jambo lolote, wapo kwa kufanyika jambo hilo, kutaiwezesha mahakama kufika uamuzi wa haki kuhusu jambo lililo mbele yake. Aidha ikiamuru jambo lifanyike halafu mlengwa akagoma mahakama itachukualia jambo hilo kwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuishi Mtwara na kujifunza haya! Nimegundua mkoa wa Dar ni wanafiki sana

    Kiongozi huko Ntwala iko sehemu inaitwa Nkaanalendi. Kutohoa ni kubadilisha majina kutoka yaliyo kwa lugha moja na kuyatamka kwa lugha yenu.. Mf. Police (polisi), Cowway (Kawe), Mussa Hassan (Msasani) nk.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuishi Mtwara na kujifunza haya! Nimegundua mkoa wa Dar ni wanafiki sana

    Nkana Red.....ndio imetoholewa na kuwa Nkaanalendi?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

    Nchi pekee iliyoendelea kwa dini ni Roma, sadaka za dhahabu fedha na vito, ukwepaji mkubwa wa kodi ndiyo mtaji wao"-Roma haikuwepi kodi. Makubaliano ya Rome kunilipa kid I yalifikiwa kati ya Vatican na serikali ya Dikteta Musolini. Vatican iliomba kusamehewa kid I na enyewe, kupitia ushawishi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

    A few factual errors: "China ni miongonij mwa nchi zenye waumini wachache"-Dini za Confusius na Buddhism zona waumini wengi kuliko Wakristo na waislamu combined!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Mrithi wa Kinana: Shigela, Pereira, Prof. Mkumbo na Dr. Bashiru Ally watajwa

    Hatajwi maana Dr Bashiru keshatajwa. Hap wote wanaotaka kijiji kimoja Bkb vijijini (Kandani)
Back
Top Bottom