Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,460
- 3,818
unafaa kuwa mwandishi wa habariWa Nigeria wako rude sana kuanzia airport wale wafanya kazi wanaongea kama wanagomba hivi wewe jua ndio walivyo.
Pili pamoja na exposure walionayo bado wanagombania kuingia kwenye ndege wakati kila mtu ana seat number yake,wakati unafanya connection pale Adis au Kigali kama unapitia huko utaona kituko hiki.
Ukifika kule utaiheshimu sana Tanzania watu wamekula hela ya mafuta hata miundo mbinu kama barabara ni duni tofauti na highways ambazo zinaonekana kwenye movie.
Ukienda dukani ,wakati unatoa hela unatia kwenye ndoo utakayo ikuta pembeni. Hawana desturi ya kupeana hela mkononi.
Chakula chao hakina ladha huo wali du..wana menyu yao maarufu makande yanachanganywa na Samaki utatupa mrejesho ukiila.
Mbilikimo ni weengi sana na mbuzi wao ni mbegu fupi sana utawashangaa.
Pamoja na kuwa na mafuta umeme unakatika saaana so powerbank muhimu.
Line ya airtel ya huku inafanya kazi kule ila voucher inabidi mtu wa huku awe anakurushia.