Recent content by paulthomas

  1. paulthomas

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Waache waje kwani ni haki ya kila mtu kuhama au kuhamia chama fulani
  2. paulthomas

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Hiii ni mbinu chafu SUBIRI TUME ITUPE MAELEZO usijaribu SUMU KWA KUONJA
  3. paulthomas

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Mpaka sasa ni bila bila au
  4. paulthomas

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Tujuzeni mambo huko vipi!
  5. paulthomas

    Mgao Wa Umeme Kimya Kimya Jijini Arusha

    Tangulia mbele wewe tukufuate maana huna point ya kuchangia
  6. paulthomas

    Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Tunataka aanzishe chama kingine ili awe rais wake kabisa
  7. paulthomas

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    Huyo ana bia njema ya kubomoa UKAWA
  8. paulthomas

    LUKU imeanza kusumbua tena kama kawaida yake

    Shirika litafutiwe mbadala hii ndo itakuwa dawa,maana ata TTCL walikuwa hivi hivi
  9. paulthomas

    Kwa nini kila kukicha humu ndani ya jukwaa utakuta zito, act,cdm

    Naombeni mtoa mada wa hizi atafute habari nyingine sasa maana hizi zishakuwa kero kwetu ,
  10. paulthomas

    CHADEMA Yapukutika: Mbunifu wa Operesheni za M4C na Sangara Atimkia ACT - Wazalendo!

    Kama mmenunuliwa nyie semeni , maana aiwezekani chadema wawe ndio wanahamia act tu. Ndugu wana cdm na wana mageuzi lazima tuwe makini kwani huku kuna watu mahsusi wameandaliwa kukibomoa chama kwa njia ya mitandao. Vijana makini lazima tuelewe hizi njama zao .Leo mtunzi wa nyimbo, kesho m4c kesho...
Back
Top Bottom