Recent content by Paulo Piss

  1. Paulo Piss

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Poor interpretation, You lack the theological knowledge. Huna ushahidi wa kutosha kuthibitisha hoja zako
  2. Paulo Piss

    JamiiForums Tanzania Bachelor of philosophy with education bado ina umuhimu mkubwa sana

    Hiyo ni sehemu ndogo sana ya philosophy. Pure philosophy inafundishwa chuo cha jordan morogoro, pia ni chuo pekee tanzania kinachotoa masters ya philosophy
  3. Paulo Piss

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    Fikiri mara mbili kabla ya kuandika, kila sehemu ambazo ziko chini ya serikali zina utaratibu wa kutumia kuna maeneo ambayo ni ya serikali lkn lengo lake ni kwa matumizi yoyote yale yawe ya kisiasa au sio ya kusiasa na maeneo ambayo yako maaalumu tu kwa ajili ya shughuli ya serikali(strictly for...
  4. Paulo Piss

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Elewa kwanza lugha biblia ndipo utoe dukuduku zako
Back
Top Bottom