Bachelor of philosophy with education bado ina umuhimu mkubwa sana

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
913
576
Hii ni zaidi ya science.... Bila programme hii ya degree ... Tanzania itabaki kuwa jamvi la wageni.
Prof Ndalichako unajua ujua umuhimu wa shahada hii,?

Mwalimu hayati J. K. Nyerere enzi hizo alifuta ufundishwaji wa falsafa pale UDSM... Unajua ni kwa nini?

Hakya mungu nakuambieni sii pigii chapuo programu hii ya falsafa lakini bila wanafalsafa tutaendelea kuishi kwa matamko.
 
Mbona pale UDSM program ya PHILOSOPHY IPO?
Ninefundishwa na Dr Mihayo na Dr Azaveli Lwaitama.Philosophy ni moja ya course nilizo opt undegraduate.
Na kuna kozi moja ya Philosophy maarufu sana inaitwa Critical Thinking and Argumentation (PL 111)
 
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya philosophy. Pure philosophy inafundishwa chuo cha jordan morogoro, pia ni chuo pekee tanzania kinachotoa masters ya philosophy
 
Aaaah, kwani mie nimesema ni sehem kubwa???Me nimemjibu alosema Nyerere alikataza kufundisha PL.
While pale kuna watu wamefuzu degree za Philosophy.Unapozungunzia habar za Jordan na mambo ya PL wala si ya kushangaa maana ni kozi inayosomwa sana kwenye ukatoliki.Mwalim alonifundisha mimi anaitwa Sista Kent ni MKATOLIKI.
Nimejibu kipengele cha kufuta PL UDSM
 
Kuna wengi wetu tunachangia hovyo hovyo huenda course chache za filosofia zingetusaidia kuandika vitu vyenye mantiki.

Halafu hawa jamaa wa Jordan hawana mchezo ili usome degree yao ya divinity lazima kwanza uruke na diploma au degree ya filosofia.
 
Aaaah, kwani mie nimesema ni sehem kubwa???Me nimemjibu alosema Nyerere alikataza kufundisha PL.
While pale kuna watu wamefuzu degree za Philosophy.Unapozungunzia habar za Jordan na mambo ya PL wala si ya kushangaa maana ni kozi inayosomwa sana kwenye ukatoliki.Mwalim alonifundisha mimi anaitwa Sista Kent ni MKATOLIKI.
Nimejibu kipengele cha kufuta PL UDSM
Baadaye ilirudishwa
 
Mbona pale UDSM program ya PHILOSOPHY IPO?
Ninefundishwa na Dr Mihayo na Dr Azaveli Lwaitama.Philosophy ni moja ya course nilizo opt undegraduate.
Na kuna kozi moja ya Philosophy maarufu sana inaitwa Critical Thinking and Argumentation (PL 111)
sio dr mihayo ni dr mihanjo
falsafa imemfanya mpk kaweuka
na mf. wak mkubwa@mabibo girls are beautiful
 
kusoma hiyo hapa Tanzania utakuwa mwalimu miaka yote alafu darasani unajisifia tu au nawe unakuwa na akili kama zao
 
kozi ya falsafa ni mhm kwa ajili ya uelewa na utambuzi bnfs lkn ni vgm hii kukuletea mpunga kibongobongo so km anatafuta hela ni ya kupiga chini.
 
Kaka hakuna utakacho fanya bila falsafa labda matamko,,?

Niambie nikozi gani umesoma bila kuwataja wanafalsafa ndani yake?
Paythagoras
Emmanuel kant
Socrates
Plato
Aristotle
Transmarchus
Gorgias
Antiphone
Marxist
Neophone
Nyerere
Mandera
M. L. King jr
Marie montessory
Michael egell
Paulo freire
Thales
Zenos
Empedocose

Kwa kutaja wachache
Na ideas zao unazijua?
Unafahamu vitaya dunia iliraibiwa na mwanafalsafa gani?
Vipi kuhusu nyumba, simu na magari unayo tumi.... Unjua ideas zake.

Unajua kuw Tanzania ya viwnda haipo kuokana na kuokuw na wnafalsafa mkini?
 
Back
Top Bottom