Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nikiwa katika shuguli zangu hapa mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga nakutana na hii stori kwamba huyu gwiji wafiramu Tanzania marehemu stivin kanumba alizaa na mwanamke mmoja ambaye yeye kwa maelezo yake alidai alikua mfanya kazi wake sikutaka...
Hii siku ya Leo nilijua ita kuwa siku tofauti na siku nyingine mpaka mdaa huu jua lina elekea kuzama sija ona wajenzi wa UKUTA wakileta tarifa za ujenzi wa ukuta duu kweli kelele za chula...................... Nime kumbuka na lile la dodoma
Hawa ni mafisadii kabisaa baba yangu alikuwa dactari alistafu kazi serikarin kuna shilika moja la Roma wana hosptarii kubwa tuu na nying hapa nchin walikuja wakamwomba baba yangu nayee akaenda bila kinyongo toka mwaka 2006 alikuwa analipwa mshala na serikal na sary slip zilikua zinatoka hazina...
Naombeni msaadaa juu ya hii baypotr mimi nimeekopa mkopo wa miaka mitano na vigezoo vyootee tukawa tume kubaliana sasa cha kushangazaa hawa jamaa wana kata kimaaa cha juuu saana nina takiwa nibaki na moja ya tano ya mshala wangu lakini hata hiyoo siiipatiii basic saly ni 360000tsh nikipigaa...
Nimefurahishwa na maamuzi ya mahakama kuu juu ya swala la mita 200 ili kulindaa kura mahakama imewatosa wana ukawa na hamna cha mita 200 wala nini piga kura uka subili kwako sasa wewe sijui nani vilee ubisheee
Jaamaa wewe zoba hiyo michoro yakoo ya kijinga kuna watuu walikua waanangalia screen na weengine waana mwoona raisii moja kwa mojaa hamna editing hapo rofa we
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.