Recent content by pauli jm

  1. pauli jm

    Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

    Eti kitu kina kuja kwa kasi ya ajabu lakini tangu mwaka 74 paka leo hakifiki.
  2. pauli jm

    Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

    Hakuna kitu kama hicho marekani wenyewe wapo kwenye mkakati wakumpata rais hawana habari. Tangu mwanzo nilijua niuzushi kutokana na taarifa zilizokuwa zikisema marekani imea andaa ma handaki (mapango) kwaajili ya kujificha huku taarifa hiyohiyo, ikieleza kutakuwa na matetemeko mabwa ya ardhi...
  3. pauli jm

    Kuna uhusiano gani kati ya binadamu na mwezi?

    Duu! watu mna macho zaidi yangu ni mapungufu gani mme yaona na mimi sija yaona ??.
  4. pauli jm

    Yako wapi magari ya Lake Oil?

    Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza swali hili sana,nikajua nihapa nilipotu .
  5. pauli jm

    Kuna uhusiano wowote kati ya kushi wa kihindi na kushi wa Ethiopia?

    Nikweli kwamba hiyo picha ya malkia wa sheba haiwezi kuwa yakweli hata kidogo ila bado haiondoi maana ya hawa watu kufanana tafuta picha halisi za wanawake wa kushi wa India nawa Ethiopia alafu linganisha utaona tofauti ni rangitu
  6. pauli jm

    Kuna uhusiano wowote kati ya kushi wa kihindi na kushi wa Ethiopia?

    Wana JF natumaini muwazima. Kama tujuavyo kwamba zamani katika taifa la Ethiopia kulikuwa na Malikia alie julikana kwa jina la Malkia wa Sheba au malikia wa Kushi. Katika biblia tuna msoma akiwa ame mtembelea Mfalme Sulemani 1 wafalme 10:1-10.Napiya tuna lisoma kabila la Kushi katika Amos 9:7...
  7. pauli jm

    Uzito wa 'Arubaini'

    Umeanza vizuri ila mwishoni na kuwa ita wayahudi "mayahudi" ume ni vuruga sana.
  8. pauli jm

    Dini hudhuru wanafunzi, wizara ya elimu China yasema

    jee ni pomoja na buddha au ni zingine tu??
  9. pauli jm

    Ndoto huchukua muda gani mpaka inaisha?

    Nakumbuka piya niliwahi kuota mama yangu, akinipa maagizo , kwamba,kesho usi ende shule kwani kesho nataka twende sokoni tuka uze ndizi. Kweli kesho yake nika amka sikuji andalia chochote kwaajili yakwenda shule, mama tangu aka niuliza "kwanini huji andai kwenda shule ???. Mimi nikaanza...
  10. pauli jm

    Ndoto huchukua muda gani mpaka inaisha?

    Ndoto zingine ni balaaa. Nakumbuka niliwahi kumtongoza mwanamke mmoja, kwenye ndoto bila ya mimi kujua ni ndoto kesho yake nika jipanga fresh kwaajili ya,kwenda kupiga Mbunye...Nili jifanyia maandalizi yote kwaajili ya kwenda ku sexsika ila wakati nataka kwenda, nyumbani kwa huyo demu nika...
  11. pauli jm

    Ndoto huchukua muda gani mpaka inaisha?

    Sio kweli kwamba ndoto huchukuwa dakika moja tu , Ukweli nikwamba ndoto haina muda maalumu, nakumbuka kipindi nasoma ndoto za asubuhi zilikuwa ziki ni chelewesha shule..hai wezekani ndoto ya dakika moja ika nichelewesha kuamka, kwa vyovyote vile ndoto zikuwa ni ndefu.
  12. pauli jm

    Kuna uhusiano gani kati ya binadamu na mwezi?

    Mambo mengine niya ajabu sana, naya kufikirisha sana unaweza kujiuliza pia uhusiano kati ya wanadamu na nyota....Inakuwaje paka mtu kutabiriwa maisha yake kutokana na nyota ?? Mungu ana mengi mno kuna vingi bado havija gundulika tu ila vipo vingi tusivyo vijua
Back
Top Bottom