pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Wana JF natumaini muwazima.
Kama tujuavyo kwamba zamani katika taifa la Ethiopia kulikuwa na Malikia alie julikana kwa jina la Malkia wa Sheba au malikia wa Kushi.
Katika biblia tuna msoma akiwa ame mtembelea Mfalme Sulemani 1 wafalme 10:1-10.Napiya tuna lisoma kabila la Kushi katika Amos 9:7.
Ambapo kushi wotehao wali aminika niwatu kutoka Ethiopia.
Lakini leo kuna kushi kutoka India na kimuonekano nikama wana fanana vile, na piya sifa kuu ya hawa kushi tangu zamani ni uzuri walio nao.
Kila nikitazama kushi wa Ethiopia na niki Tazama kushi waki hindi mimi binafsi nashindwa kuwa tofautisha sana ijapo kuwa,wana tofauti kwakiasi fulani ila nina hisi kuna uhusiano wa damu.
Labda kama kuna mtu anaeweza kutupa habari zaidi atujuze. Huenda kukawa na muingiliano mkubwa ulio wahi kutokea.