Recent content by PaulHolota

  1. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania CCM haijafia mikononi mwangu (JK). Je, itafia mikononi mwa nani?

    Wee wasema..mhakuna marefu yasiyo na mwisho.Tanu unahistoria yake
  2. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Selfie hii ya Nyalandu iliyopigwa jana ina ujumbe

    Ccm hawapendi mafanikio yA cdm hata siku moja
  3. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nani kaimba huu wimbo kama unao nisaidie

    Marlow
  4. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

    Amevaa kaa malaya anayeenda kujiuza
  5. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

    Hili nalo neno
  6. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Alexander Mnyeti akabidhiwa ofisi mkoa wa Manyara, atoa onyo kali kwa wapinzani

    Ndo akili yake amekabidhiwa ukuu wa mkoa kwa ajili ya kudhibiti wapinzani.saa simlaumu mimi ilaa sasa siku ya mwisho atayajibu yake kww mpango wake
  7. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi CCM Wilaya ya Nyasa ahamia CHADEMA, amesema CCM wezi

    mnyeti kanyetiliwa
  8. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Tuombe hii albadir iliyosomwa kwa ajili ya Lissu isiwe kama ' TEGO' la ubenani!

    kumbe mtoa maada upeeo wake ni mdogo kiasi hicho siku kujua kama albadil imemgeuka kubenea kwahiyo alikuwa pekee yake? nawenzake wapi acha ujinga wasiojulikana wameamua kuturogea kubenea alafu wakatuma nyie mje mtudanganye humu eeeh sisi hatutaki propaganda zenu tena
  9. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Diamond na Ali Kiba waendeleze bifu zaidi, wasipatanishwe

    akili yake inamtosha mwenyewe.waziri wa michezo alikua ni nape mwakyembe ni mtu wa sheria tuu
  10. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye amefika Hospitalini jijini Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    safi sana sumaye
  11. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Najitoa rasmi CCM, yanayoendelea huko ni aibu tupu

    mbona wewe umechelewa sana mii nishajitoa kitambo angalia hapa stadium arusha ulinzi unavyo imarishwa unafikiri ni trampoamekuja barabara zimefungwa kila kona ukipita karibu unakula kichapo
  12. PaulHolota

    JamiiForums Tanzania Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    wangoje lissu aje hapa wata tueleza ni kipi kilichowapekea kutaka kutuulia jemedari wetu na kamwe kwa mapenzi yao watakufa wao lissu ataishi wakishuhudia kwa macho yao ya kinafki
Back
Top Bottom