Jamani jamani,naomba kufundishwa na kuunganishwa namna ya kufanya biashara za mitandaoni,na namna ya kubuni biashara kupitia simu maana simu yangu hainiingizii kipato ko natamani nipate faida kupitia sim,tafadhar kwa yeyote anaye juaaa.
Hao wenye mabasi basi waanzishe mgomo nao wa nchi nzima,maana isije kujitokeza yale ya vitambulisho vya nida,.waliweka kikomo kabla watu hawajaelimishwa zaidi.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.