Recent content by paulchazzy

  1. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Ni mziki gani unaopenda kusikiliza unapofanya kazi?

    Kizazi sana. List balaa hii
  2. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Ni mziki gani unaopenda kusikiliza unapofanya kazi?

    List yako kama yangu tu. Mimi nikitaka kusikiliza R&B kali huwa nasikiliza kwenye online radio. http://colorsconnectradio.com Wana madj wakali sana.
  3. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Ni mziki gani unaopenda kusikiliza unapofanya kazi?

    Dondosha list yako ya miziki unayopenda kusikiliza unapokuwa kazini.
  4. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Pakua "HadithiZetu" kufurahia hadithi nzuri na za kusisimua

    Aina zote
  5. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Pakua "HadithiZetu" kufurahia hadithi nzuri na za kusisimua

    Thanks
  6. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Pakua "HadithiZetu" kufurahia hadithi nzuri na za kusisimua

    HadithiZetu - Android Apps on Google Play
  7. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulipa kwa playstore unapo upload application

    SOLVED: Kuweka application kwa playstore ni one time payment yaani unalipia $25 ambayo ni kama Tsh. 50,000 ili kufunguwa account ambayo ni google console publisher .Ukiwa na hiyo account unaweza upload applications nyingi uwezavyo ilimradi ufuate terms & conditions za google play store.
  8. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Web designing & Applcation Development

    Una Website/Blog Yako na unahitaji iwe designed na kuwa na muonekano mzuri? Una website/blog na unahitaji application? Je unahitaji website kwa ajili ya biashara yako? KARIBU Tunatengeneza websites/blog na application za kisasa kwa bei nafuu. Wasiliana nasi kupitia: Email: Paulchazzy@live.com...
  9. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulipa kwa playstore unapo upload application

    Nilikuwa nahitaji kuweka application kwa playstore ila kuweka Inahitajika $25. Ila tatizo payment method lazima utumie PayPal nami PayPal account sina. Kama kuna ajuaye kutumia payment method nyingine tusaidiane na kama kuna mwenye PayPal account tuwasiliane. Au ambaye anaweza kuniuzia google...
  10. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Google ADSENSE.Ingia hapa

    Namba yako kaka nataka tuwasiliane tusaidiane
  11. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkopo bil. 240.56 kujenga kiwanda cha matrekta

    Serikali imesaini mkataba wa mkopo wa Sh. bilioni 240.56 kutoka Serikali ya Poland ili kujenga kiwanda cha kutengeneza matrekta na kuongeza idadi ya maghala ya kuhifadhia nafaka nchini. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwenye hafla fupi ya makubaliano...
  12. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Usiku wa September 24 2015 taarifa ya Majonzi imesambaa na kuwafikia watu kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari pamoja na mitandao ya Kijamii, Serikali ikathibitisha pia kuhusu msiba wa aliyekuwa-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mama-Celina Kombani-amefariki Dunia...
  13. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Instagram yafikisha watumiaji milioni 400

    Kweli nimeipenda hii. nadhani pia kupost kwa kingereza itasaidia watu kutoka njee wasioelewa kiswahili wapate kushiriki katika posts zitakazokuwa posted.
  14. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Magufuli
  15. paulchazzy

    JamiiForums Tanzania Instagram yafikisha watumiaji milioni 400

    Kuwa unasoma kwanza hii ni news alert. humu kwa jamii forum kuna watu tofauti tofauti kuna ambao wanapenda kusoma vitu kama hivi na wao wataiview sijakulazimisha kuisoma kaka BUSAMUDA naomba tuwe wastaarabu humu jamii forums sio kucomment tu. Samahani lakini
Back
Top Bottom