Recent content by Paula Paul

  1. Paula Paul

    Happy Birthday Msanii🌷🌼🌻, lakini unanikera aisee

    Happy birthday, take care of yourself.
  2. Paula Paul

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    The Stranger by ALBERT CAMUS
  3. Paula Paul

    USA: Area 51

    Ni kweli sio Area 51, OP kaamua kudanganya. Nilipotea sana kama mwaka ila sasa nipo. Asante kwa kujali, T14 Armata.
  4. Paula Paul

    Nakereka sana kwa hili jambo

    Unatakiwa uongee naye kuhusu hilo afahamu kwamba ana nafasi ya kukutumia sms ukiwa kazi. Wengine hawapendi usumbufu.
  5. Paula Paul

    Nakereka sana kwa hili jambo

    Umewahi kuongea naye? Pengine anajua upo kazini , you are supposed to be working.
  6. Paula Paul

    USA: Area 51

    Ndiyo mimi ni mzima, Proved. Mambo?
  7. Paula Paul

    USA: Area 51

    Kweli hapo ni Area 51, OP?
  8. Paula Paul

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Guys go for looks. Girls go for status (kidding). Pole Pinkman
  9. Paula Paul

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Anaonekana Expensive kwa kuangalia picha. Napenda sana mwanamke akijua anahitaji nini na anataka nini.
  10. Paula Paul

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Oohh okay nitaweka. Nimecheka sana mbona unajiadhibu mwenyewe? Amefanya nini kama hautojali?
  11. Paula Paul

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Wow! Looks great!
  12. Paula Paul

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Huyu ni SO wako , Pinkman?
  13. Paula Paul

    Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

    Baby Bump❤️
  14. Paula Paul

    Kwa hali hii ya utoaji mimba kiholela, p2 zimegoma au zimezira

    P2 is not always effective. Kama ovulation imeshaanza haifanyi kazi hata ukitumia soon after you have sex.
Back
Top Bottom