Recent content by Paula kilaki

  1. Paula kilaki

    Humu ndani kumepoa sana

    Looh! Hawa ndio wakongwe wa JF? Basi kuna kizazi kilishakufa kikaisha, naona kabaki Dinazarde tu, me naona nifufuke maana ni miongoni mwaoLll
  2. Paula kilaki

    Humu ndani kumepoa sana

    Dinazarde [emoji112]
  3. Paula kilaki

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Utakuja kutibika tu, mbona malaria takes ovee 40 years kupata dawa?
  4. Paula kilaki

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Hahahaaaa sio kwa umbea huu
  5. Paula kilaki

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Hahaha wee mbeya
  6. Paula kilaki

    Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Naona imekuwa habari muhimu saaaaaanaaaaa kila Mkuu anaitolea maelezo mbele ya vyombo vya habari, yaani wakitoka nyumbani wanavaa suti tai, na perfume wanapuliza, wapi wanaenda kuongea na vyombo wa habari juu ya wimbo wa nei, kuanzia rais, warizi mkuu, mkuu wa police yaani walikuwa bize kuandaa...
  7. Paula kilaki

    Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

    Uuuwi ndio ukute eti wewe ndio mume wangu uwiii uwiiiiiii, najiandikia talaka mwenyewe naona mahakama itanichelewesha.
  8. Paula kilaki

    Hivi kwanini Wema anapendwa?

    Anapendewa dramas baaaaaasiiiii,msanii yupi mwingine ulishawahi ona akawa na uthubutu wa kuita media kwenda kuwaonesha nyumba ya watu na kuwatangazia watu kuwa ni ya kwake? Jibu ni hakuna ila wema aliweza, ni msanii yupi alishawahi ona amefake mimba, kisha akaenda kuifanyia launching kwwnye...
  9. Paula kilaki

    Ben Paul agombana na mwandishi wa EATV, baada ya kubanwa kuhusu habari za 'shemeji'

    Angrrrrrr its annoying aisee, huyo mtangazaji alizidi bana, king'ang'anizi kama mkia wa ng'ombe? Hata ingekuwa mimi adrenaline ingemwagika
  10. Paula kilaki

    The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] fair analysis thou' thumb up kwa aliyetumia muda wake kutuchambulia
  11. Paula kilaki

    kumhusisha diamond kwa ajali ya Darasa ni upunguwani

    You are one who bring it up! Mpaka unaanzisha huu uzi hukuwaza kuwa ndio unazidi kusambaza habari ambazo unajua ni za uongo?? Me ni shabiki wa dai sikujua mpaka nilivyosoma hapa.
  12. Paula kilaki

    EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

    Hahahaaaaaa yameanza kutimia eeeh!?
  13. Paula kilaki

    EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

    Ngoja nifuatilie, maana hapo kabla ya tuzo ilikuwa ukitoka wimbo wa kiba LAZIMAAAA uingie wa dai yaani hadi keroooo
Back
Top Bottom