Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,425
Abee!
Abee!
Kwema kabisa, Uko poa wewe?Kwema nyagei lakini?
Yeah Spare Tyre inapndeza zaidEee,we watakaje? Au nkuweke risevu kwa matumizi ya baadae?
![]()
![]()
hivi umemficha wapi mtoto wa mimi lakini
yaani nikajua umemuhamisha nchi, nahisi kaedit hadi username maana simpati kabisa... Nimemaliza EDA na Nina mpango wa kutongoza tena aiseeeHujambo mtotomadame kafanyeje tena...... ?
mi hali inakaba sina bundle![]()
nitakulipaaaNakudai ujue?
Hongera sana HoE....Nalea mapacha.... wajanja washafanya yao
I missed you so much...........
Kuna mtu kanambia unanitafuta....
Tatizo mtu anaweza anazisha mada ya kichit chat members wengine wanamzodoa aisee. Kisa Tu ni mgeni kwenye forum
muanzilishi wa makapuku