Recent content by Paul_123

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu chuo katika idara ya ualimu wa sekondari, nahitaji kazi

    Umehitimu chuo mwaka gani??
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mbona Mimi form six kijana nimechukuliwa bila connection
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Lakin wewe hukuwa muumini wa connection 🤔 nakumbuka Kuna mdau humu akisema swala la connection ulimbishia sana
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daaaah sema sio mbaya nikukomaa tu blaaaad...nakujiongeza muhimu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sawa kiongozi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Na Twyn tupeni mrejesho ndugu zetu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sema hawajafafanua kwenye tangazo lao
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tulio bahatika kupata nafasi za kujiunga na jeshi la polisi tujuane...ndugu zangu Hili tutengeneze undugu mapema hata KABLA ya kufika CCP🙏🙏
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    🙏
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Humu hakuna mtu wa kumuajiri mtu mwingine kiongozi..... BITTER TRUTH, BUT IT IS BETTER TO ACCEPT IT. Ma'boss wako busy na kazi hawashindi humu MY ADVICE 1.Jichanganye na vijana wenzako iwe mtaani au hata uliomaliza nao shule angalau watakusaidia lkn sio humu 2. Jaribu kuzunguka maofisi bila...
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa aina hii ukiwa naye basi maisha yako yatakuwa magumu sana

    😀😀😀😀😀Nimependa point ya ASIYEJIELEWA
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wanandoa, lakini siku hizi hawapendani kama zamani

    Upendo umeisha kwa wote wawili, Alf wanashindwa kuvumiliana. Hapo Jambo la msingi ni UVUMILIVU TU
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alitengana na mumewe na kuolewa na mwingine, Sasa anataka kurudi kwa mume wa kwanza

    Hizo ni tabia za kimalaya malaya🐒🐒🐒😂
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alitengana na mumewe na kuolewa na mwingine, Sasa anataka kurudi kwa mume wa kwanza

    Upuuzi nakudanganyana
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

    Ni tabia za kimalaya malaya🐒😂
Back
Top Bottom