Nimehitimu chuo katika idara ya ualimu wa sekondari, nahitaji kazi

Oct 11, 2021
26
15
Nimehitimu chuo katika idara ya ualimu wa sekondari, nahitaj fursa kwa mwenye connection ya kaz katika shule za sekondar, English medium schools, day care centres, au connection zingine kama vile kazi za sheli, duka, wakala, viwanda na kaz zingne za mikono ndugu zangu

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kutulia kwenye wazo moja sasa mkuu na amini utapata ufumbuzi wa changamoto yako kwa wakati.
 
Back
Top Bottom