Recent content by paul sylvester

  1. paul sylvester

    Wahamiaji haramu toka Kenya watiwa mbaroni Tanzania

    Unashauri wahamiaji haramu waendelee kuingia tu bila vibali na kufanya watakacho siyo??
  2. paul sylvester

    Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

    Waafrika wengi tuko hivyo kama wewe mkuu, na ndio maana utalii kwa Mwafrika ni kama kumlazimisha tu.
  3. paul sylvester

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui apinga chanjo ya Covid 19 hadi pale wataalamu ndani ya nchi watakapoitafiti kama inafaa

    Hata ningekuwa Mimi ningesema hivyohivyo, Chanjo zoote zilizowahi kugunduliwa, kabla ya Matumizi Kwa binadamu zilifanyiwa majaribio Kwa sokwe,nyani na wanyama wengine ndipo zinakuwa tayari Kwa Matumizi ya binadamu Ni hii tu chanjo Kwa mara ya Kwanza inatumika kama majaribio na huku kama...
  4. paul sylvester

    Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wapata ajali. Mmoja wa Watumishi wake afariki

    Kulikuwepo na Mchungaji mmoja kila alipokuwa akihudhuria kwenye misiba kauli yake Ni moja tu, Tunamshukuru Mungu Kwa tukio hili, na kama isingelikuwa hivi, pengine lingetokea kungetokea Jambo kubwa zaidi kuliko hili hiyo ndiyo ilikuwa moja ya faraja yake Kwa kila mahali ambapo kungetokea shida...
  5. paul sylvester

    Mbowe yuko wapi mbona Rufaa za wabunge Halima Mdee hazisikilizwi na wanachama hawaelezwi sababu?

    Mbowe Hesabu zake ni Sawa na mtu kuwa na bajeti ya miaka minne ijayo!!
  6. paul sylvester

    Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Rais wetu Ni mwenye Afya Tele na hana tatizo lolote, ana miaka mingi Sana Mbele yake,
  7. paul sylvester

    Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

    Nadhani kweli kunahitajika ubunifu yakinifu katika uwekezaji huu, la sivyo kuna hatari huko tuendako kukakosekana Maana ya kuwa na wanyama weeengi wasiokuwa na faida
Back
Top Bottom