Tunaomba tu Rais au Waziri mkuu waingilie kati suala la kungang'anywa viwanja wananchi hasa hapa Dodoma maana wakubwa wengi wanahamia hapa Dodoma wanamshawishi Mkurugenzi wa JIJI anyang'ange viwanja na kuwamilikisha wao sie wafanyakazi tumekopa kwa ajili ya kununua hivyo viwanja tunaambiwa...
Mifuko mia ukigawa kwa kata 28 ina maana kila kata mifuko mitatu ya sementi na nusu inatosha kufanyia kazi gani jamani ni heri angejipanga na kuja upya haitasaidia kitu hiyo.
Wewe ni bendera fuata upepo tumia kichwa chako kujua mambo kwa fact sio kiushabiki , nadhani wewe unamapungufu ya akili kama unatumia akili vizuri utamjua zito ni opotunist na hana lolote zaidi ya usaka tonge acha ujinga kijana tumikisha kichwa.
Zito acha uongo watu wote hao hawana ndugu, toa basi hata uthibitisho wa picha za watu waliouawa au unaleta hadithi zako za uzushi za Mabilioni ya Uswisi halafu unashindwa kuthibitisha , na si mara kwanza unatoa uzushi ukibanwa unashindwa kuthibitisha .Serikali hii haiendekezi rushwa imekula...
Unamjua vizuri, usidanganye watu bwana kuna watanzania hawatamani kumuona hata kumsikia kwa jinsi anavyowaumiza watanzania wenzake na kesi zipo hata mahakamani akitoa rushwa watu wadhulumiwe haki zako ni hawa watanzania wenzetu wenye viwanja kuzunguka mgodi
Shida ni kuwa Madereva wengi wazoefu wameondolewa na vyeti feki ndio maana waliopo ambao ni vijana wanamaliza watu na kukimbia hovyo wakidhani ni ushujaa.
Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
Watengeneza matukio hamchoki tu kusema uongo naupotoshaji ili muonekane na nyie mnaandika upupu. Magufuli yupo katika right track kuipeleka nchi katika maendeleo nyie ndio watengeneza maneno ili nchi isitawalike ,watanzania wamewajua nahamtowaweza kwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.