Uchumi wa Tanzania unaelekea shimoni

Uchumi wa Tanzania unaelekea shimoni

Kichwa cha habari ni uchumi wa Tanzania kuelekea shimoni. Mada kwenye uzi inazungumzia wafanya biashara kupewa vitambulisho. Hivyo vitambulisho vinahusianaje na kudidimia kwa uchumi wa nchi? Oanisha kichwa cha habari na habari yenyewe. Naona nia yako ni kushutumu juhudi za serekali na unaishia kuweka kichwa cha habari ambacho hakiendani na habari unayoizungumzia. Kama nia yako ni kukejeli utoaji wa vitambulisho, toa hoja za kuelewesha kwa nini vitambulisho hivyo havina maana.

Hawa ndio wachambuzi wa jf[emoji23][emoji23].

Sometimes utajua kwamba hata wanachtuaminisha hawakifamu.
 
Tuna strigler, sgr, barabara zinajengwa kwa kasi ya concord, elimu bure, huduma dhahanati na hospitali ni nafuu au bure kabisa kwa watoto, mama wajawazito na wazee. Unataka serikali ifanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda

Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.
Huko mikoani na wilayani ni kizaazaa. Viongozi imebidi wawe wabunifu vitambulisho vitoke maana jamaa hatawaelewa. Suluhisho? Wanapita kwenye ma bar kila mhudumu lazima anunue kwa hiyo elfu 20.
Hivi mhudumu wa bar naye ni mjasiliamali au mfanyakazi tena wa kiwango cha chini kwa maana ya mshahara wake?
Tusishangae watapita kila nyumba ma house girl na house boy wote wavinunue. Lazima hela ya stigilazi goji na standadi geji ipatikane
 
Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda

Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.
Nadhani watanzania tumezoea kufanya biashara bila kulipa kodi ndiyo maana baadhi yetu tunachukulia kulipa kodi kama dalili ya nchi kudidimia kiuchumi. Laiti wengi mngekuwa mmepata bahati ya kuishi nchi zilizoendelea ndiyo mngejua jinsi kila raia anavyolipa kodi mpaka kwenye mali ya urithi!
 
basi sawa ila hatukuzoea hivyo sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia hata kama unafuga kuku wawili unatakiwa uwe na kitambulisho
 
Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda

Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.
Kwa maisha ya Usinge hapo kaliua navyojuaa mfanya biashara wa Usinge kumchaji hiyo elfu 20 tu ni disaster, kuna maisha magum sana hapo sijapata kuona.

Aliyekuwa Mbunge na waziri wa zamani wa ulinzi Juma Kapuya aliwadidimizza sana kwa kuutumia ujinga na ufahamu mdogo wa raia hapo.
 
Huko mikoani na wilayani ni kizaazaa. Viongozi imebidi wawe wabunifu vitbulisho vitoke maana jamaa hatawaelewa. Suluhisho? Wanapita kwenye ma bar kila mhudumu lazima anunue kwa hiyo elfu 20.
Hivi mhudumu was bar naye number mjasiliamali au mfanyakazi tena wa kiwano cha chini kwa chini kwa maana ya mshahara wake?
Tusishangae watapita kila nyumba ma house girl na house boy wote wavinunue. Lazima hela stigilazi goji ipatikane
Hatari sana. Hii inaitwa indirect tax
 
Awali ya yote naunga mkono hoja yako.
Pili uchumi wa nchi hauwezi kutegemea maskini au wajasiriamali wa hali ya chini kuchangia pato la taifa.
Nchi hii ni moja kati ya nchi zilizo barikiwa kuwa na RASILIMALI nyingi (natural resources) kama madini, gas, mbuga za wanyama, milima, mabonde, nk.
Swali langu kama mtanzania wa kawaida, mlituahiadi kuwa mtatumia rasilimali zetu za nchi kuboresha maisha ya watanzania. Je hadi sasa kwa nini mnatumia kodi za maskini badala ya rasilimali za nchi ambazo ndiyo zenye mapato makubwa zaidi kuendesha uchumi wa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali lako hapa una muuliza nani?
Unasema walikuahidi, nani?? Mleta uzi??
 
basi sawa ila hatukuzoea hivyo sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tuzoee kwani kodi ndiyo huwa inaendesha nchi. Hata misaada tunayopata ni kodi za wananchi wa nchi nyingine walizolipa wakiwemo ''wamachinga'' wa hizo nchi. Tunachotakiwa kuwa makini ni kiwango cha kodi kiendane na hali halisi ya walipa kodi.
 
Leo nilikuwa tabora katika harakati za maisha nikasikia tangazo la watu wanao takiwa kulipia vitambulisho vya biashara au ujasiliamali nimesitaajabu sana kama ni kwelo basi uchumi wetu upo taabani
kwanza wauza mchicha
2 mafundi selemara
3 wakodisha baiskeli
4 waosha magari
5 wapaka rangi kucha kwa akina mama
6 madereva boda boda

Orodha ni ndefu sana kwa namna nilivyo sikia uchumi upo taabani na kesho mkuu wa wilaya atakuwa na kikao na watu hao
maeneo ni usinge wilaya ya kaliua tena huo mkutano utaanza saa mbili asubuhi nilitamani niwepo ila nipo safari kuelekea nyumbani dar es saam tuache siasa tuna hali mbaya kiuchumi wasalam.
Usiwe na wasiwasi tuko kwenye right track kuelekea uchumi wa kati. Kufikia huko lazima kupitia milima, mabonde na mashimo.
 
huyu ndiye MJASIRIAMALI mdogo tunayemlipisha kodi. Pesa ya KITAMBULISHO inawezekana amechangiwa na BIASHARA anayofanya ndiyo hiyo mnayoiona hapo. Je kwa hali hii tutafika?
IMG-20190216-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kujitambua na akili timamu ndio wanatambua nchi inasonga mbele , maana vitu vinaonekana kwa macho
 
Back
Top Bottom