Recent content by paul miteda

  1. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Baada ya matumizi ya superblack nywele zangu zimeharibika

    Kwani utaki mvi??Na je kama utaki nikwasababu gani???
  2. paul miteda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harufu mbaya ya miguu ilivyonikosesha Tunda

    Ikate kwann ikuletee fedheha
  3. paul miteda

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

    Kwa maoni yangu bora wangeyatoa yote road daladala za kawaida zifanye kazi kwenye hiyo road ya mwendo kasi kwisha sinajingine
  4. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mwambie huyo fala hajui kutumia mitandao kazi yake kumfuatilia zuchu na gigy money
  5. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Ndiyomaana kwa mwezi naingia mara 2 tu
  6. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Nataka nikuulize ww mitandao unatumia kufanya nn maana watz wengi ukiwemo ww bado ujajua matumiz ya mitandao yote haijalishi ni upi wenzako tunafanya biashara na tunapata pesa sasa ww kama unaangali picha na kutupia picha zako zakishamba ndiyo ujielew na kama ujajua Fb ndiyo mtandao unaongoza...
  7. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Ww ndiyo mshamba tunafanya biashara sana kama wewe unashangaa picha na kujitulia kila sasa asubuh ww ndiyo mbulula
  8. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Anajifanya bishoo atumii fb mshamba huyo
  9. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Ndiyo maana kunamuhubir mmoja alisema hizi bible tunazo ziifadhi kwenye mitandao na zile za asili kuziacha ovyo zitapotea kabisa na zile mnazotegemea kwenye mtandao nayo mitandao inafutika like now fb na instagram.Ni kweli angalia fb na insta imeyumba kidogo tu dunia inashake hii mitandao si...
  10. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi ya Mwendokasi ni kero kuu

    Nilikasirika juzi natoka mbezi saa 3 nafika k.koo saa5 sasa hapo kuna mwendo kasi gani yaaaani naona waruhusu daladala zipite kule kwenye road za mwendo kasi hatutopatashida
  11. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Lindi na Mtwara kwanini ni Maskini? Wana Bahari, Gesi na Korosho na ilitoa Rais wa awamu ya 3!

    Pia uchawi unarudisha maendeleo sana kusini wamezidi mnaloga mno
  12. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Lindi na Mtwara kwanini ni Maskini? Wana Bahari, Gesi na Korosho na ilitoa Rais wa awamu ya 3!

    Ukweli kusini kumetengwa sana alafu kuna rasilimali nyingi sana
  13. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

    Nasema nasimama na makonda
  14. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Msanii, Chino na kundi lake wapata ajali Kabuku, mmoja afariki Dunia

    Mungu awasaidie gari hata plate namba bado imekula mzinga mungu awaponye
  15. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Msanii, Chino na kundi lake wapata ajali Kabuku, mmoja afariki Dunia

    Barabara ya Moshi ila sijajua ni eneo gani dah
Back
Top Bottom