Recent content by Paul Mchumi

  1. Paul Mchumi

    Mambo ambayo yatakufanya uwe A Broke Man (Mwanaume aliyefeli)

    Hii Research uliifanya lini mkuu,tungependa kujua,huyu mwanamme unaemzungumzia ni wa Tanzania au na maeneo mengine Duniani?
  2. Paul Mchumi

    Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

    Life isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi. Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball...
  3. Paul Mchumi

    PATA KITABU CHA: KUZA UCHUMI WAKO SASA

    Hiki ndio kitabu kitakachokupa siri ya kukua kiuchumi,kibishara na mbinu za uwekezaji. Bei ya Ofa ya sasa ni Elfu Tatu(3000) badala ya Elfu kumi bei yake ya kawaida. Tunakutumia kwa njia ya WhatsApp au Email yako. YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI 👇👇 ✅Utangulizi ✅Yajue mambo 15 ili uanze...
  4. Paul Mchumi

    Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Mimi naheshimu maoni yako japo SIKUBALIANI nayo.... Huo utafiti wa mzunguko wa pesa kwa watu wa mkoani umeufanya lini? Hizi mindset za kwamba Dar ndio kila kitu zimesababisha watu wengi kuishi kwa kuunga unga hapa Dar. Dar usipokua na nidhamu ya pesa utaishia kulipa kodi za nyumba na bill...
  5. Paul Mchumi

    Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    Nimewahi kuajiriwa na nimewahi kufanya biashara. Nilikaa kwenye ajira miaka saba,sikuweza kuwa hata na nyumba ya kuishi zaidi ya kupanga na kuhangaika na kodi za nyumba. Nilipoacha kazi na kuwa committed na michongo yangu kitaani saizi nina nyumba yangu nzuri tena ya kisasa,nimejenga kwa nguvu...
  6. Paul Mchumi

    Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Kuna sehemu umesema "usipokee simu kwa wakati" acha ikatike halafu piga baadae... what if hiyo simu ni notification ya kukuepusha na hatari? Yes point zako nyingi zina mashiko lakini Nyingine zinahitaji discussion zaidi
  7. Paul Mchumi

    Matangazo youtube/Mitandaoni yanakera

    Ukiona unapata free service ukajihisi ni fursa kwako jua watoa huduma wanakuona wewe ndio fursa. Ukiona bado Application zako nyingi kwenye simu yako unaletewa matangazo mengi jua unapenda kutumia vitu vya bure. YouTube wana premium package nzuri haina takataka hizo za matangazo ya hovyo...
  8. Paul Mchumi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Saini huko Private...Duniani hakuna mkataba usio na kipengele cha kuvunjwa
  9. Paul Mchumi

    Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

    Wamarekani wamepima Sera kati ya wagombea wawili,wameona huyo Trump ni sahihi kwao.. Wamarekani wameona wachague kiongozi badala ya jinsia
  10. Paul Mchumi

    Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Its not always the fact...ume-generalize sana andiko lako. Mimi nimefanya kazi ofisi ya Uma,kuna pisi zinatembea na maboss,na kuwa pisi nyingine zinajiheshimu.
  11. Paul Mchumi

    Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Marekani vyama vikuu ni viwili tu R na D hawa wengine ni wasindikizaji tu...Trump kaupiga mwingi
  12. Paul Mchumi

    Nini kimewakuta waganda? Kwanini wanakitaka Kiswahili sasa baada ya miaka yote ya kukitelekeza na kukisusa?

    Nasikia Uganda kiswahili huwa kinatumika Jeshini hadi leo,toka kilivyo asisiwa enzi za vita ya Iddi Amini,ila waganda wakatokea kukichukia....
Back
Top Bottom