Recent content by Paul John 2025

  1. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

    Maneno mengi halafu yote pointless. Usijifanye unaujua sana urais. Ile ni taasisi na ni mama pekee anayefanya vyema Tanzania
  2. Paul John 2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Kwa niaba ya chama. Natoa pole na hongera Vijana wetu wamejitahidi kutetea taifa. Ila haikuwa yetu leo.
  3. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    CHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA
  4. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Mshaurini Lema apunguze mihemko. Hawezi nabii akatoka CHADEMA. Kwanza nabii wao alikuwa ni Mch Msigwa ambaye unabii wake anautimiza sasa kwa kuelezea kiasi gani CHADEMA ni gari bovu lililopoteza mwelekeo
  5. Paul John 2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

    Kwani yeye si ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama?
  6. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

    Tabia ya Mnyika hiyo
  7. Paul John 2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Na ndio maana makipa wa Stars hawachukuliwi kwao. Kipa anaona mipira mitatumitatu wakati Tabora wanapiga mpira mmoja tu. Sindano hizo
  8. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa kesi, yakubali kuilipa fidia Kampuni ya Montero Tsh. Bilioni 71 kwa kukiuka Masharti ya Mkataba

    Ndivyo mikataba inavyokuwa. Makubaliano lazima yafikiwe. Ni kawaida dunia nzima
  9. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Mwanadumu Kadri Unavyomjali Ndivyo Atakavyo kupuuza.

    Kama ambavyo vijana wa hovyo wanavyompuuza mama yetu baada ya kuwafikisha hapa tulipo kitaifa na kimataifa
  10. Paul John 2025

    JamiiForums Tanzania Sijui kilichomkuta huyu bwana baadae ila natumaini sio kuruka kichura

    Huyu jamaa ni CHADEMA pure. Hawanaga akili vijana wa BAVICHA
Back
Top Bottom