Recent content by Patroman

  1. P

    JamiiForums Tanzania Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

    Pamoja na kwamba Simba tunakosa wachezaji wenye kiwango bora.... Pia Nina wasiwasi na ufundishaji wa kocha fadlu.... Anafundisha mpira mgumu sana.... Unahitaji wachezaji wenye vipaji mkubwa... Kuanza kushambulia kuanzia nyuma Kwa pasi fupi fupi... Hii inawapa timu pinzani muda wa kuwahi kurudi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

    Mnaweza soma pamoja... Na msilingane umri.... Tena Kwa zamani hali hiyo ilikuwepo sana....wengine walikuwa wanachelewa kuanzia shule...wengine wanarudia shule na madarasa.....Makonda huyo huyo amesoma na dada yangu alizaliwa 1982..
  3. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Mkuu ... Kwa nini sasa usiwashangae hao G- 55 .... Kwa uamuzi wao wa haraka namna hiyo wa kuhama chama ndani ya Siku 70 baada ya uchaguzi.... Kama walikuwa kuwa kweli wanakipenda Chama.... Wangevumilia tu.... Siku 70 ni chache sana kudai kuwa uongozi mpya umewatenga.... Inawezekana uongozi mpya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ata ukiyumba kiasi gani msingi wako una baki palepale?

    Kwanza kabisa hakuna biashara isio na hasara.....pili ni rahisi zaidi kupata hasara kuliko faida kwenye biashara ..tatu . ..ni rahisi zaidi kupoteza mtaji kuliko kutafuta mtaji...mwisho naomba tujadili kwanza nini maana ya kuyumba.... Kuna kuibiwa....kuna Kushindwa kulipa mikopo.... hasara za...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)

    Mkuu habari, msaada tafadhari, nimejiunga leo, siju namna ya kuvuna point
  6. P

    JamiiForums Tanzania Dunia ipo upande mwingine wa pesa ya mtandaoni (Digital currency)

    Msaada tafadhali -Nimejiunga leo , sijiu namna kuvuna point
  7. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    Naomba maelekezo kidogo hapo kwenye location - sokoni side Iko Mtaa upi?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Za wizara au za kuandikishana tu kwa Serikali ya Mtaa?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Kwa matokeo haya mabovu- Azam kabla hamjaanza ku- deal na bench la ufundi - pia mumfanyie tathimini na huyu CEO wenu Popati! Amekaa muda mrefu, lakini ameshindwa kujenga timu Imara ya ushindani- licha ya uwekezaji makubwa kutoka kwa wenye Azam yao
  10. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Mkuu VP kuhusu nyaraka( documents)? Namaanisha hati ipo?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Simba Queens waendelea kushusha vichapo CECAFA Women waichapa Kawempe Muslim goli 3-0

    Kocha Juma Mgunda! Ulipo nipo! Naamini sio muda mrefu watakuleta tena kuokoa jahazi huku kwenye stress - Hongera SIMBA Queen .
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Binafsi mm naona tatizo la Simba hii iliyocheza mechi tatu tukazishuhudia ni kwenye viungo wa ushambuliaji- Mukwala mikimbio yake inaonekana ni mchezaji mzuri tatizo anakosa huduma, yule Ahua na wenzie, bado hawajafanya Kazi kwa usahihi- kwa maoni yangu ni bora tuongeze kiungo wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Shikamoo biashara

    Kama huyajui mapepo au mashetani basi ukija kwenye biashara utayajua tu! Na ikitokea umefanikiwa , unaacha maswali magumu sana kwenye jamii!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wowote kulala hotelini au lodge badala ya kulala msibani pasipo na malazi ya kutosha?

    Mkuu ww chukua chumba ukapumzike Lodge! Nje ya kulala, Kuna issue za usafi kama vile kuoga, kubadili nguo na mambo mengine! Kaa msibani mpaka muda wa kulala ukifika, nenda lodge! Amka asubuhi na mapema nenda msibani.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Simba SC inahitaji REFORMS

    Uko sahihi Mkuu, kwa uchezaji huu kama wa Leo, mwaka huu robo hatutafika, hapa makundi ndio mwisho wetu. Viongozi wajitathimini, wakubali kuwa wameshindwa.
Back
Top Bottom