Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

Coach Fadlu: Simba hii haivutii kuitazama ikicheza

Huyo Fadlu tutamuonea bure, shida ya Simba ni QUALITY mbovu/ndogo/duni/hafifu. Wachezaji wa maana tunao hawafiki watano.
Msimu mmoja tu na wachezaji wapya karibu kikosi kizima ulitegemea nini ? Hapo ilipo fika simba nimafanikio makubwa sana kimpira, leo umevuta bangi ya wapi bwashee?
 
Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita).

Tuna expect kukutana na Mamelodi,Ahly,Esperance,Wydad na berkane!

Hakuna muunganiko kuanzia nyuma kuja katikati na forwards,ule unyumbulifu umekosekana (Ule wa Aussems) ndio maana hata wachezaji wazuri mathalani Mpanzu anakosa flow nzuri kuanzia nyuma inabidi aanze kukokotea mpira mbali kusogea kwa mpinzani.

Hii issue ilionekana kuanzia mwanzoni kabisa mwa msimu ila ilifunikwa na matokeo ya CAFCC!
Tatizo limeendelea, tukiamini anajenga team.

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Ushauri:
Coach atakuwa na report na mapendekezo ya maingizo mapya,sawa team itachanika kumpa anachokitaka, ila uongozi wa Simba lazma uelewe, team imepoteza falsafa yake ya kucheza mpira mzuri wenye flow ya kasi kama wenzetu walivyoweza kufanya ,wazungumze na coach kuhusu hilo na kulifanyia kazi,otherwise waachane nae kwani mpira ni matokeo na burudani!

Poleni wana Simba,Yanga wameonesha ubora zaidi yetu, wanastahili pongezi!
Kwa hiyo tumekubaliana sasa Yanga hainunui matokeo! Au na leo pia imenunua?
 
Siwezi kukubali kuumia mara mbili, mwaka huu nahamia CCM najua watashinda
Kuna mwenzako anaumia hii ni mara ya 5 wewe mara 1 tu unahama
Ngoja kwanza tumuandalie mabango mji mzima ili tuwe tunamkumbusha
 
Kocha wa Simba ameshindwa kutengeneza team work,wachezaj wanacheza kwa jitihada zao na nguvu japo anawachezaj wa nzuri sana wenye talent na vijana.msimu ujao watafute kocha mpya na wachezaj km watatu hivi.
 
Simba ya kubutua mipira kwenda mbele itakayo mpata uyo uyoo😅😅
 
Huyo Fadlu tutamuonea bure, shida ya Simba ni QUALITY mbovu/ndogo/duni/hafifu. Wachezaji wa maana tunao hawafiki watano.
Ukweli ambao simba hawataki kuusikia, huwez kupigiw kampen low quality players waonekane wa maana
 
Pamoja na kwamba Simba tunakosa wachezaji wenye kiwango bora.... Pia Nina wasiwasi na ufundishaji wa kocha fadlu.... Anafundisha mpira mgumu sana.... Unahitaji wachezaji wenye vipaji mkubwa... Kuanza kushambulia kuanzia nyuma Kwa pasi fupi fupi... Hii inawapa timu pinzani muda wa kuwahi kurudi nyuma na kufunga njia.... Timu ikifika eneo la mpinzani inakuta wapinzani wamejaa.... Vile vile Kwa sababu ya kuanzia mashunbumili nyuma.... Na tukikutana na timu inayo kabisa juu.... au tukiporwa mipira... Unakuta beki line Iko bila mpangilio..... Na tumefungwa magoli kadhaa Kwa mtindo huo......sub za kocha nazo mtihani ....unamtoa Kagoma....unaingiza Hamza .....
Ushauri wangu.... Simba tumtafute Kocha GAMONDI aliekuwa Kwa watani.... Bonge la kocha yule jamaa.
 
N

Gamondi boli ilikuwa inambea!
Bora kuliko Fadlu.
 
Tangu Ahmed Aly awe msemaji wa 5imba hjawahi kuifunga yanga.

Ana gundu yule dogo
 
Msimu mmoja tu na wachezaji wapya karibu kikosi kizima ulitegemea nini ? Hapo ilipo fika simba nimafanikio makubwa sana kimpira, leo umevuta bangi ya wapi bwashee?
Kwamba Ateba akikaa misimu mingi Simba ndo atakua bora? Na akina Mukwala, Ahoua, Mutale? Mpanzu ni mchezaji mzuri (aliezungukwa na wengine wengi wabovu) nikumbushe amekaa misimu mingapi?
 
Back
Top Bottom