Unajua kiukweli hii nchi tunahitaji Viongozi wa aina kama ya Naibu Waziri huyu David Kihenzile, upotoshwaji mkubwa unapotokea juu ya gharama hatutaki kujibiwa tu kwamba ni ndiyo au hapana. Kwanza tujibiwe kwanini gharama zinaonekana ziko juu, sababu hii imeelezewa vyema na binafsi nimeafiki...
Nisiwe muumini sana wa siasa hizi za uchawa uchawa hazijawahi kuwa na matokeo mazuri na ni fedheha kwa umahiri wetu vijana wa Kitanzania.
Lakini kiukweli kabisa, Huyu Jamaa Kihenzile ni kijana ambaye kama Taifa tunapaswa kumtegemea kwa umahiri wake na uwezo wake kiakili na mikakati.
Binafsi...
Hii Tweet ya Maria Sarungi imenifikirisha mara mbili mbili, Hapa kuna shida kubwa sana na sikutemea mchakato huu uanze namna hii, Mh. Mwinyi huenda kashauriwa vibaya au ana overconfidence kupitiliza aliyopewa toka juu kuja kuzalisha drama zote hizi.
Kiukweli mchakato huu unahitaji utulivu...
Habari Wakuu,
Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k
🙏🏽🙏🏽
Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini...
Kwetu wengi ambao tumo kwenye Chama cha Msalaba Mwekundu kwa miaka 20 sasa jina la Dkt George Nangale si geni labisa. Alikuwa mweka hazina kwa kipindi cha 2006-2013 na baadaye akawa Rais mwaka 2013. Kwa wanaaokumbuka vizuri pale Mwanza ulipofanyikia uchaguzi Mkuu mwaka 2013 George alibebwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.