Recent content by patriotisttz

  1. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Kilimo na balton Tanzania limited

    Balton ni wasanii na wana customer care mbaya sijawahi kuona hii bongo wanajisikia af wanazingua pia
  2. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Nane nane na balton Tanzania limited

    Nahitaji Pesa pia kwani kufanya joint Venture sio mkakati wa kutafuta pesa
  3. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Nane nane na balton Tanzania limited

  4. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati sasa watanzania tuache unafki wa kumfurahia Joti na uigizaji wake wakishoga

    Hapo umekurupuka Bro Joti hatetei ushoga anacheza scene za kuonyesha mambo ya wanawake lkn si ya ushoga.Yeye ni msanii sawa lkn anaact kuwasilisha nini hilo ndo suala la msingi .
  5. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Nane nane na balton Tanzania limited

    Balton wasanii sana mimi ni mdau mzuri sana wa Irrigation system Nimejaribu kuwatafuta tuweze kufanya Joint Venture lkn wapi hawapokei simu zangu email hawajibu website haijawa updated kitambo hicho....Shame On them
  6. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Wauza laptop tukutane hapa

    Mia 5 ni pm plz Nina shida nayo hiyo kitu
  7. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

    Mmmh utazijuaje sasa?
  8. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli trilioni 6 hizi hapa

    We jamaa Ni creative sana upo vizuri
  9. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kujichua leo nina siku ya 5, dua zenu ni muhimu

    Kweli inabidi na mimi unifundishe ulivyofanya mpk umefikia hatua hiyo
  10. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu whatsapp

    Kiongozi na mimi je kuhusu whatsap call
  11. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu whatsapp

    Naombeni pia msaada wadau simu yangu haipokei simu wala kupiga kwenye whatsapp inaniletea msg call couldn't connect wakati mara ya kwanza ilikuwa freshy Nimejaribu Ku update lkn wapi,,
  12. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania "Ole wako uzitumie vibaya" haikuwa kauli sahihi kutoka kwa rais kumueleza Meck Sadick hadharani!

    Mwasilisha mada uelewe hakuongea vile Kwa sababu ya kuangalia umri alikuwa anatoa order kama kiongozi ...suala la kusema sijui haikuwa vizuri mi sioni tija yake after all hii nchi imefika hatua viongozi lazima wawe makauzu ili mafisadi wasiendelee kutafuna mali za walio wengi
  13. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Poa usijali nimekusoma!
  14. patriotisttz

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Acha wenge basi kama huna si Unasema tu sina .
Back
Top Bottom