Ifikie wakati sasa watanzania tuache unafki wa kumfurahia Joti na uigizaji wake wakishoga

He's a man anaigiza Kama mwanamke sio Kama shoga
unaposema paka kamwaga mchuzi na unaposema mchuzi kaumwaga paka nafikiri ni yale yale lkn muundo tuu wasentesi nitofauti! ila inawahitaji watu wenye upeo mkubwa kuweza kujua hilo! so zinduka na uanze kufikiri nje ya boksi!
 
Hapo umekurupuka Bro Joti hatetei ushoga anacheza scene za kuonyesha mambo ya wanawake lkn si ya ushoga.Yeye ni msanii sawa lkn anaact kuwasilisha nini hilo ndo suala la msingi .
 
Kiukweli alipofika huyu mshkaji anaboa na kuchefua sasa, mimi nakuunga mkono. Sanaa gani zile?
Ndio maana nikasema maudhui ya sanaa hayasimami kwenye kuelimisha tuu. Kunakukosoa, kuburudisha, kutoa taarifa na mengiuneyoo. Anachofanya joti sio ushogaa amevaa uhusika wa kike na kuigiza kama mwanamkee tuu. Angevaa uhusika wa kishoga na kuiguza kama shoga wakati yeye sio shoga hoja yako ingekuwa sawia.

Hata hvyoo mashoga wamejaa kila pembe ya nchi tunawajua na wengine wanawatumia kama wanawake lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kwenda kushtaki au kutoa malalamiko japo sheria inawaruhusu kufanya hivyoo.

Ushoga Tanzania umeanza kitambo sana kwa mara ya kwanza nilimwona shoga tanga anapita mtaani na kavaa nguo za kike na hakuna aliyefanya jitihada zozote kuonyesha kutokukubali ike hali. Kupinga ushoga inatakiwa ianzie kwa mtu, watu na maeneo tunapoishi. Mfano kariakoo akipita mwanamke kavaa kimini kuna kitu vijana wa kariakoo walichojiwekea kukifanya na tumeshuhudia mengi. Matokeo yake wadada wakienda kariakoo inawabidi wavae kwa heshima lah sivyo wanajua watadhalilika.

Kama tunania ya kupinga ushoga inatakiwa popote pale anapoonekana shoga hatua zichukuliwe ikiwemo kuchapwa viboko na matukio mengine. Hii itakuwa ni ishara tosha ya kutokukubali ushoga au mashoga kuzidi kuwa huru zaidi. Kama hakuna kitu chochote kinachoifanyika bhasi ujue ushoga ushakubalika, japo hautambuliki kisheria. Na mpaka hapo hakuna kitakachoweza kuja kuzuia. Kinachotakiwa kila mmoja ajue anailinda vipi familia yake isiingie katika hilo janga.
katika sanaa uigizaji wa Joti upo katika Jukwaa la "women and children" yaani mashabiki wake wengi ni watoto pia na wala hayupo kwenye jukwaa la "Kings and Presidents"! kwa uigizaji wake unaooashiria vitendo vya kishoga ambayo moja wapo ni mwanamme kuigiza ujike je kweli anelimisha watoto wetu!
 
Binafsi sijaona ushoga wowote katika uigizaji wa Joti.

Labda useme tukemee vile Joti anavyoigiza kama mwanamke.

Pia yakupasa utofautishe kati ya shoga/choko na mwanamke.
 
Kwani joti ana mke na watoto wangapi,? Kama hana hata kimoja mke au watoto ni wale wale hakuna ushemeji tunakulaga...
 
This shit is out of control, huu uzi wa tatu asubuhi hii unahusu ushoga.
This is only found in TZ. All it takes is one big headline to turn one topic into a trend. We are always surrounded by the same things, condoning them at that but a day that the one thing gets a negative portrayal then suddenly we are up in arms talking like it has only started today. Tomorrow some other topic will come up hili la ushoga litasahaulika bila suluhisho and life goes on. Only in TZ.
 
hatimae.....asante sana mleta uzi.
ukienda wikipedia kamusi elezo hii ndio tafsiri ya shoga. (MS**G*) ni neno la kutaja aina ya watu ambao hujiigiza, kujiskia, kujifikiria na kujiona tofauti na jinsia zao walizopewa tangu kuzaliwa. Neno hili kuna kipindi huitwa 'Shoga.'

Kinacho tokea ni kwamba watoto wa kiume wanajifunza kuongea,kuvaa pia kujiremba kama mwanamke(ushoga),kumbuka msanii ni kioo cha jamii na watoto wamekua wakicopy wanachokiona kwenye tv
 
Kazi ya msanii ni kuigiza yaliyoko kwenye jamii.

Wasanii wanaigiza mpaka mashetani na Mungu na Yesu leo unataka kuwazuia??

Joti anaigiza kama mwanamke na sio shoga, umeshawahi kuona anapapaswa masaburi??

Au hujui nini maana ya shoga??

Ahahaaaaaa, mbavu zangu mieee, eti "masaburi"
 
Kazi ya msanii ni kuigiza yaliyoko kwenye jamii.

Wasanii wanaigiza mpaka mashetani na Mungu na Yesu leo unataka kuwazuia??

Joti anaigiza kama mwanamke na sio shoga, umeshawahi kuona anapapaswa masaburi??

Au hujui nini maana ya shoga??
Kunawengine wanaigiza kama mtume mohamed S.A.W
 
hatimae.....asante sana mleta uzi.
ukienda wikipedia kamusi elezo hii ndio tafsiri ya shoga. (MS**G*) ni neno la kutaja aina ya watu ambao hujiigiza, kujiskia, kujifikiria na kujiona tofauti na jinsia zao walizopewa tangu kuzaliwa. Neno hili kuna kipindi huitwa 'Shoga.'

Kinacho tokea ni kwamba watoto wa kiume wanajifunza kuongea,kuvaa pia kujiremba kama mwanamke(ushoga),kumbuka msanii ni kioo cha jamii na watoto wamekua wakicopy wanachokiona kwenye tv
Big up mkuu! angalao wanaoshabikia uigizaji wakina Joti na wenzake watatanabahi kama kweli na wao sio miongoni mwa hao mashoga!
 
Joti ni Yule wa ze comedy. Manake mie sipendag anavyoigiza kabisa Nina miaka miwili sijawai angalia hivyo vituko vyake. Mara lipsticks , wanja, mwanaume mzima amekosa mwanamke wa kuigiza kwenye hilo eneo?
alafu akitembea anakibinua kishuzi chake na muda mwingine anakata mauno lainiii ka demu, yule anaweza akawa analiwa
 
Joti anamuigiza mwanamke sio shoga sababu sidhani kama ameshawahi kucheza character ya kishoga na anajipatia kipato halali mbona pia anaigiza kama mwanafunzi na mzee?
 
Huyu Joti hata mimi nilishamwambia wazi kwenye mtandao wake wa Facebook, lakini niliambulia matusi yeye na mashabiki wake, hafai hafai hafai kwenye jamii ya wastaarabu. Lazima tumpige vita wazi wazi.
 
Alafu naona sijui mmeambizana mnawapa promo sana mashoga thread ni nyingi leo zinawazungumzia.
 
Back
Top Bottom