Recent content by PATRIOTANZ

  1. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania CCM kuanzisha TV na redio zao

    Nyie Shikilieni UKUTA. Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
  2. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Yuko sahihi kwa hilo..kutoka umekuwa msimamo wa upinzani..hakuna haja ya kujadili tena..ni suala dua inaisha unaamsha..watanzania tumechoka bongo movie.
  3. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Umaarufu wa Rais Magufuli washuka, Jakaya azidi kung'aa, Lowassa apanda

    Sample size ngapi?
  4. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    "After 60 days" not "within 60 days"...tafsiri nyepesi[emoji41]
  5. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Kasaka: KUB Mbowe na CHADEMA hakuna maono Bungeni, wanawasaliti wananchi kususia bunge!

    _"Hakuna chama kilichoahidi Bunge Live wakati wa kampeni"_[emoji41]
  6. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Eti hotuba fupi ya kambi rasmi ya upinzani iliyowasilishwa na msanii Kutoka MBEYA..[emoji1] [emoji1] "siasa za Mwendokasi Bana[emoji79] "
  7. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Dk. Tulia asota Dodoma

    Itabidi uchaguzi ujao DR.TULIA @ agombee awe hta running mate wa DR.MAGU...UKAWA WASUSIE TENA GEneraL ilekshen[emoji14] ...#nafikiriKWAsauti.
  8. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Kauli ya N/Spika kuhusu posho na mishahara ya wabunge wa upinzani waliokacha bunge

    Nadhani centre argument ni DR.HM kuomba mwongozo, whether ni wa kikanuni ama kikatiba..utoaji wa PESA hizo ni subject na sheria iliyotungwa na BUNGE.. Katiba iko too general lkn sheria nyinginezo (kanuni zikiwa inclusive) zinadadavua ama kutoa tafsiri zaidi..ndio maana Sijaona tatizo mwongozo...
  9. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania TRA yashinda kesi ya Tshs bil 38 dhidi ya VIP ya Rugemalila

    "WENGI" na sio "HAKI"??..[emoji102]
  10. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa fidia wa wafanyakazi

    Asante serikali ya JPM kushusha Income tax from 11 to 9 percentum kwa waajiriwa..Ni hatua nzuri, japo kwa jicho la kimapato tutajiuliza namna ya kufidia hio deficit. Naskia kuanzia Julai mosi mwaka huu..mfuko mpya ulioanzishwa kisheria wenye lengo la kusaidia wafanyakazi wa serikali na binafsi...
  11. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania TRA yavuka lengo, Yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi

    Kazi nzuri TRA..Tanzania tuitakayo inawezekana,tutavuka hapa tulipo.
  12. PATRIOTANZ

    JamiiForums Tanzania Kauli ya N/Spika kuhusu posho na mishahara ya wabunge wa upinzani waliokacha bunge

    Sioni Tatizo Dr.HAMWA kuomba mwongozo juu ya suala la posho kwa sababu mosi,kanuni hazichagui ama kubagua mtu wa kuomba mwongozo wa kiti pale kunapokuwa na jambo linalohitaji ufafanuzi wa kiti cha SPIKA. Pili,alichofanya DR Hamwa ni kuliinvite bunge kupitia kiti cha SPIKA kuona umuhimu wa suala...
Back
Top Bottom