PATRIOTANZ
Member
- May 21, 2016
- 13
- 7
Asante serikali ya JPM kushusha Income tax from 11 to 9 percentum kwa waajiriwa..Ni hatua nzuri, japo kwa jicho la kimapato tutajiuliza namna ya kufidia hio deficit.
Naskia kuanzia Julai mosi mwaka huu..mfuko mpya ulioanzishwa kisheria wenye lengo la kusaidia wafanyakazi wa serikali na binafsi kupata fidia pale wanapopata ajali makazini kwa makato ya asilimia 0.5 na 1 respectively.
Hii ni source nyingine ya mapato ya serikali..Wanufaikaji wa mfuko,hii si ya kukosa.