Recent content by PatriceLumumba

  1. PatriceLumumba

    Natafuta supplier wa Miwa wa uhakika

    HABARI MKUU WEKA MAWASILIANO. LUMUMBA
  2. PatriceLumumba

    Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

    Mimi binafsi hilo halinishangazi nilishaliona muda ilikuwa ni kumpa mama muda tu.Sasa hizo ni mvua za rasha bado vuli na masika . LUMUMBA
  3. PatriceLumumba

    Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    HABARI, Kwa uzi huu nanauhakika MH.RAIS Ataupata ujumbe asaidie vijana wakitanzania kuingizi kipato dunia sasa ni kijiji kwa kutumia TEHAMA haiwezeni vijana wenzetu wananufaika na hili sisi hela zinatupita. Hapa faidia ni nyingi kwanza ni ajira pia zitaongeza mzunguko wa pesa na pia hata mapato...
  4. PatriceLumumba

    Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    HABARI,' Nimeikuta hii kitu pia mtu akiongelea miaka 4 iliyopita. https://www.change.org/p/daniel-schulman-tanzanians-need-to-receive-funds-via-paypal Calistus Kavindi started this petition to PayPal and 2 others In 2014 I planned to visit Mikumi National Park; an absolutely beautiful...
  5. PatriceLumumba

    Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    HABARI, mike2k: Hapa Tunachozungumzia ni malipo ya mtu kulipwa kutoka Nje ya Nchi hasa Ulaya na Marekani kwa kazi za mitandaoni Na mfumo huo wa malipo hauusiani na malipo ya kutopa moja kwa moja hapana.Kwanza nikujulishe paypal ni online wallet unafungua acount na kuweka peza zako kule mtandaoni...
  6. PatriceLumumba

    Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    YEHODAYA Hongera Sana umetoa ushauri mzuri wenye uzito wa hali ya juu,Kazi mtandaoni ziko nyingi sana na malipo haya kutumia paypal ni makubwa sana kwa takwimu za kimataifa Paypal kwenye robo tatu ya mwaka huu imefanyika miamala bilioni 3.74 yenye Thamani ya dola za marekani bilioni 246.Na...
  7. PatriceLumumba

    Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

    HABARI, Ndugu jaribu kusoma kwa kina tabia za mabepari na ufikiria kama miaka ya 1960 alishakuwa milionaire alikuwa anafanya biashara gani? Hapo ndio tungejikuta kunakoo chache ni mabilionaire wanaondesha Nchi watakavyo kuanzia kuchagua viongozi wa kuongoza na mambo mengine ni hatari sana...
  8. PatriceLumumba

    Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

    HABARI. Mimi nadhani Kungekuwa na Watu wachache tu wasiozidi elfu 5 ndio wangekuwa wanamiliki zaidi ya asilimia 50 ya aridhi yote yenye rutuba Tanzania.Tungekuwa tunasikia Tanzanite ni miliki ya ukoo flani au kikundi cha watu mererani yote ingekuwa ni miliki ya watu wachache au ukoo.Hiyo ni...
  9. PatriceLumumba

    Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

    HABARI, Roman na Us hawa wote wanafanya kazi pamoja na kwa kutegemeana,Marekani wakati anajizatiti kutawala Dunia kiuchumi alikuwa anapata taarifa nyingi toka kwa mapadri wa kiroma kutoka ulimwengu mzima na yeye ndio alikuwa anawalinda huko Roman inawategemea US kiulinzi na makampuni mengi ya...
  10. PatriceLumumba

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    HABARI, Pole sana kwa hiyo changamoto, Mdudu huyo anaitwa stream borrel au Kifauongo kwa kiswahil ni jamii ya wadudu funza. huwa analeta hatari zaidi kwenye stage ya bull kama anavyoonekana Funza, Uzuri wao akianza kushambulia mkorosho ahami kwenda mwingine mpaka haumalize huo. Hutoboa na...
  11. PatriceLumumba

    Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    HABARI ,Ndugu mada umeielewa lakini naona unataka kuipindisha na mada nyingine. Nadhani ujumbe umekupata vema. LUMUMBA
  12. PatriceLumumba

    Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    HABARI, JokaKuu Nashukuru sana Joka kuu nimekuelewa ni kweli barabara nyingi za vijijini ni mbovu na ndiko vyakula na vinapotoka mimi nadhani Lissu angesema ataweka mkazo kwenye barabara za vijijini Lakini sio kusema zile barabara za juu ubungo asingejenga kwanza pale amejiharibia kwa...
  13. PatriceLumumba

    Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    HABARI, Najua umenielewa vema na ujumbe umefika.Mzungu akikosea spelling mnapiga makofi mwafrica akikosea spelling mnamuona hana akili. LUMUMBA
  14. PatriceLumumba

    Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    HABARI, Jamaa flyover, a bridge carrying one railway line or road over another. Sasa wewe ukiamua kuita jina lako kama daraja sawa. Pili nimesema flyover kwakuwa yeye ndivyo alivyotamka. LUMUMBA
  15. PatriceLumumba

    Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka. Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke...
Back
Top Bottom