158-U Mwendo Gani Nyumbani?
How Far From Home (SDAH439)
Doh ni E♭
U mwendo gani nyumbani? Mlinzi akanijibu,
"Usiku sasa waisha, macheo karibu."
Usihuzunike tena, bali ulemee mwendo
Hata ushike ufalme kule mwangani juu.
Na tena niliuliza, nchi yote ikajibu:
"Sasa mwendo watimika, milele...