Katika vyote alivyoumba mungu, iwe nyota, anga, ardhi, wanyama na vingine,
alitamka neno tu na ikawa kama alivyotamka.
ila kwa binadamu alimuumba na kumfinyanga kwa mikono yake.
Dah ly walikuwa wanatutesa sana madogo kipindi hicho yaan walikuwa wakubwa kwa saiz ni vitoto tu eti la saba. Kipindi kile hadi maticha walikuwa wagwaya baadhi ya wanafunz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.