Recent content by Pathfinder

  1. Pathfinder

    Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Hivi wadau kumbe naweza kuwa na Uber na Bolt akaunti kwa pamoja?
  2. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mngetushirikisha chanzo cha tatizo na solution yake ingekua poa sana.
  3. Pathfinder

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    watakupitia kama upepo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Pathfinder

    Gari Toyota/Suzuki CC 1000- 2000. Bei Milion 6.5

    nicheck kwa 0764365284 Toyota alion
  5. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Fungua mlango wa dereva kwenye ukingo wa mlango karibu na lock kuna sticker imebandikwa ina recommended tyre size ya gari yako
  6. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nikijaza wese wakati gari ipo switch on gauge haipandi kwa nini wadau? Hii kitu imenitokea mara ya pili sasa na gari tofauti tofauti
  7. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Linapokuja swala la engine oil watu uwa wapo sawa lakini linapokuja swala la gear box oil watu hutofautiana si mafundi si wadau uwa nabaki pazzled
  8. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kuna fundi kaniambia gearbox ni baada ya km 100,000
  9. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni oil ya gear box kaka. Km 3000 si ni engine au?
  10. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau oil ya gear box umwagwa baada ya muda gani? Naona mafundi wananichanganya tu
  11. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ok naona ni mvuke maana umeacha kutoka. Nadhani itakua ni baridi ya usiku. Thanks mshana jr
  12. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ngoja nijaribu hilo la kuziba exhaust. Ila mafuta niliweka toka jumapili na haikutoa moshi mweupe. Naweka mafuta gapco.
  13. Pathfinder

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Leo asubuhi nimewasha gari naona inatoa moshi mweupe na haijawahi kutokea. Gari ni toyota verosa linakama wiki 3 toka niagize. Jana usiku ilinyesha mvua kubwa sana na leo haki ya hewa ni baridi sana @ mshana jr
Back
Top Bottom