Recent content by patelHQ

  1. patelHQ

    Dada anagoma kumpa Kaka mwanaye, waliyezaa naye

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. patelHQ

    THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

    Kwenye ukubwa wa maumbile nadhan kuna utofaut kati ya mwanamke na mwanamke, wife anao ila kibuyu cha asali sio kikubwa.
  3. patelHQ

    Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

    Mimi nna hii shida pia nilikuwa na marafiki zaidi ya 10 ila mpaka sasa hamna hata mmoja, kila nikijitahd nashindwa siku mbili tu nachoka kuendeleza mawasiliano, nilishazoea aina hii ya maisha mpk sasa japokuwa siipendi.
  4. patelHQ

    Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

    Mzee yupo SAWA, hawez kumuita mkwe sababu hujamuoa, pengine anakasirika hakuambii tu akikuangalia anaona bado hujaweza kujimudu unakimbilia familia. Ukweli ni mchungu, ila ukiamua kukaa na mwanamke km mke inatakiwa uwe kwako either kwa kupanga au kujenga, sio unakula mtu kwenye nyumba yake na...
  5. patelHQ

    Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Kuna watu wazembe kwenye hii nchi aisee! Hv n kwamba ulianza mapenzi na ukaoa hapo hapo au? Kwa sababu kesi kama hii hata kwa experience ya mapenzi ya sekondari tu inatatulika mapema sana [emoji2221]
  6. patelHQ

    Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah [emoji119][emoji119]
Back
Top Bottom