Recent content by Pastor k

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi 20 za kazi

    acheni uhun wenu, tumejiajiri.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa

    call m through0659989640
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira angalia kwa makini

    Interview sio kujibu maswali tuu, maswali yana asimia 50 ya interview! Kuna mambo lukuki wanaangalia,kwa mfano unaweza ukaenda ukajbu vizur maswali lakin umevaa kama mpga,debe, huwezi kupewa ofsi, ama unalnesha ishal za rushwa juc za way unavoongea wanawez kujua hili litakuwa fisad nguli! A lot...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Majina walioshortlist zimamoto

    Naomba msaada,wa,majina yanayoanzia na Ste
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari ktk magazeti kesho kuhusiana na game ya yanga na al ahly

    Hakuna,cha,kufa,kiume huko ni kujfarj tu...wamepigwa washenzi wanaishia,kuvfa,bang na,made;m
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Ili taifa lolote liweze kuwa na maendeleo dhabiti elimu bora kwa raia wake ni nyenzo mhimu! Ningekuwa ni Raisi wa Tanzania, kipau mbele(1st priority) changu kingekuwa elimu kwanza, ndpo mengne yafuate..Ndugu vijana wenzangu naomba hili swala tusilifumbie macho...taifa letu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Call for interview UDSM

    Hallo guys how tins? I applied for totorial assistant post udsm, kuna mdau yoyote ana taarifa zozote kuhusu kufanyka kwa interview? We work as a team, youth social network, we achieve
  8. P

    JamiiForums Tanzania mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

    Mganga ni uwezo wako tu na wala tusidanganyaneq, tuache ndoto za Abunuasi zisizo na mashiko..komaaa kama upo shalo kamua ucku kucha, hizo habari za mganga unaweza fika kwenye interview unapoingia tu intervieweee wote wanatoka kwa speed kumbe hujijua umeguzwa simba.. mdauuuuuuuuuuuuuuuuuu kuwa makin
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafta kaz ya kufundisha chemistry and biology

    Dar kwa sababu nina shughuli zangu zngine ninazo zfanya. datz way i cant teach out of dar es salaam. Gota dat boy?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafta kaz ya kufundisha chemistry and biology

    Nina shahada ya ualimu wa science (Bsc. Education, studied at SUA), natafta shule ya private urgently. nina experience mwaka mmoja , natafta shule ambayo ipo dar es salaam... if any contact me through, 0659989640/0768356834/... e-mail astewardkalinga@yahoo.com
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ndani ya jf......

    Tusiwe na mawazo yaliyoganda ambayo yanafikiria ajra kila cku, kwa stahili hii Tanzania tutaendelea kuwa ombaomba! Elimu uliyonayo tumia ikukombo, "Thinkin to be employed is a stuck mind"
Back
Top Bottom