Anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa

Anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,425
Reaction score
8,369
Nina dada yangu, ambaye anatafuta ajira ya kuuza duka la dawa. Elimu yake kidato cha nne; pia ana cheti cha uuguzi msaidizi na cheti cha kumruhusu kuuza duka la dawa (pharmacy). Tafadhali kwa yeyote anayehitaji kumwajiri mtu mwenye sifa hizo au anayemfahamu anayetoa ajira hiyo anijuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom