Natafta kaz ya kufundisha chemistry and biology

Natafta kaz ya kufundisha chemistry and biology

Pastor k

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
15
Reaction score
2
Nina shahada ya ualimu wa science (Bsc. Education, studied at SUA), natafta shule ya private urgently. nina experience mwaka mmoja , natafta shule ambayo ipo dar es salaam... if any contact me through, 0659989640/0768356834/... e-mail astewardkalinga@yahoo.com
 
Nina shahada ya ualimu wa science (Bsc. Education, studied at SUA), natafta shule ya private urgently. nina experience mwaka mmoja , natafta shule ambayo ipo dar es salaam... if any contact me through, 0659989640/0768356834/... e-mail astewardkalinga@yahoo.com

Oya tafuta shule yoyote unayoipenda then piga mzigo m2 wangu.
 
Njoo ufundishe zanzibar kaka kuna upungufu mkubwa wa walimu wa masomo ayo hususan a-level.
 
Kwanini Dar? Nenda mikoani watakung'ang'ania hiyo aina yako tayari wamejaa.
 
Dar kwa sababu nina shughuli zangu zngine ninazo zfanya. datz way i cant teach out of dar es salaam. Gota dat boy?
 
Ndugu mbona unaleta mada ya kichokoz hapa jamvini?..wewe shule zote tanzania wanafunzi wanafell kwa kukosa waalimu na hasa nyie wa sayans kisha unasema unatafuta kazi????....

Acha usumbufu bana..nenda shule yoyote ingia ofisin sema mie ni mwalimu wa sayansi mwalimu mkuu nipe darasa..suala la mshahara ni tsh mia 2 kwa kila mwanafunzi atakayeingia ke kipindi chako..

.amini nakuambia hizi shule za kata wote watahamia kwako na utakuwa na uwezo wa kutengeneza kiasi cha tsh 20,000/= mpaka 40,000/= kwa siku na tshs lak 6 mpaka 1.2m na hiyo haina kodi, makato wala ucheleweshwaji na wizara.

Amini amini nakuambia...kabla juwa halijazama utakuwa maarafu sana na wanafunzi wataanza kupata a's na b's za science.
 
unatafuta urgently, lakini iwe Dar ambapo unashughl nyngne. Kila la heri Pastor k!
 
Watafute Teachers' junction wananafasi ya mwalimu wa biology chemistry mbagala shule ya mission na tabata nao wanakuhitaji urgently.
Watafute hata leo ukafanye interview kesho.
Wanataka mwalimu wa history,physics and biology.
0753-810857
wapigie kwa # hiyo.
Hapo utaongea na muhusika mwenyewe au 0655-586906 uongee na secretary wao.
 
Back
Top Bottom