Recent content by Pastor Achachanda

  1. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Mikakati ipi itumike kuongeza idadi ya walipa kodi kutoka Milioni 3 hadi 30

    Bado tuna safari ndefu
  2. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

    Kwani haipo siku hizi hii jomba?
  3. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

    I know the place
  4. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kujua KIPIMO cha maumivu kinaitwaje kitaalamu?

    Habari zenu jamani. Naomba mnisaidie kujua KIPIMO cha maumivu kinaitwaje kitaalamu? Maana inasemekana kuna tofauti ya maumivu mtu akipigwa kwa hasira na akipigwa kawaida. Asanteni.
  5. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza hospitali zote nchini kuwa na ICU za watoto wachanga

    Watachangisha kwa wananchi au? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee Agostino Lyatoga Mrema

    Anaendeleaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na kufanya Mazungumzo na boss wa Barrick Afrika Mashariki na Kati, Willem Jacobs

    Hao mabeberu wasituchezee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Lifts(Elevators) zinaweza kuua!

    Hongera kwa kumkumbatia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Msako wa wamiliki wa visima wasiovilipia ada ya matumizi waja

    Nahisi utakuja wakati huko Marekani wenye makalio makubwa watatakiwa kulipia
  10. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

    Safi sana Dr naunga mkono hoja
  11. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

    Gridi ya taifa wengi wanasema unasumbua sana naona hizi ni dalili tu na salamu kutujulisha yajayo
  12. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

    Na hili la kukatika umeme Songea ni tatizo na lipo wazi. Na hivi wanatuingiza gridi ya taifa wakati wengi wanasema umeme wa gridi ya taifa unasumbua sana kukatikakatika. Bora watuachie tu umeme wa jenereta
  13. Pastor Achachanda

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika

    Hapa vipi?
Back
Top Bottom