Recent content by passive

  1. P

    JamiiForums Tanzania Yule kichaa aliyekuwa akipita Mikumi kwa miguu kaliwa na simba miezi 2 iliyopita

    Tarehe 1 Mei nilimwona, imefika miezi ?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Howo Vs Scania

    Nakupa tu uzoefu, Scania inachemka kupanda Zambezi wakati HOWO inapanda kama mchezo. Sijui wewe unatakaje . Scania ina maisha marefu zaidi na bei almost mara 2 ya HOWO
  3. P

    JamiiForums Tanzania Aibu: Kamati yasema Korosho zenye kokoto, zilitoka Tanzania tena Liwale

    Tatizo hili halitofautiani na pamba yenye maji au kahawa. Tunachokosa ni Quality Control Mechanism
  4. P

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali

    Lowasa alipora hadi ardhi ya KKKT Tangibovu, itakuwa hiyo ya shamba la bibi? Eti Waluther walimwamini awasaidie kupata hati pale Tangibovu akiwa Waziri wa Ardhi, yeye kajimilikisha kwanza nusu ya eneo hilo kisha lililobaki kawapa hati. Kifupi Kigwangwala yuko right 110%.
  5. P

    JamiiForums Tanzania The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

    Thread yako ina maana, inapasa tuweze kufanya hesabu ya Return on Investment (ROI). Nijuavyo mimi, Isaka -Kigali spur is shared 50/50. Wakati wa ukoloni reli zilijengwa kusafirisha bidhaa kupeleka sokoni, purely extractive purposes. Dunia sasa imehama, reli zilijengwa alongside with Fibre...
  6. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

    RIP afande Mlay. Buhemba ulitukomesha na kilimo cha pamba
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono maazimio ya AU na UN kulaani kauli ya Trump

    Shithole sio tundu la choo in real sense, Jamhuri nenda kasome vizuri hii vulgar
  8. P

    JamiiForums Tanzania Upotoshwaji wa taarifa ya IMF; mwandishi ana lake jambo

    Toka lini ITV na vyombo vyake wakawa wanaisupport Serikali? Hawana tofauti na Citizen/Mawnanchi ya Wakenya. Success stories za URTkwao ni vocabulary. Taarifa zao sehemu kubwa zinaongelea shida, matatizo, nk. Yeyote ainuke sasa ani prove wrong!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta ya gari OILCOM ya Reinbow Mbezi beach

    Oil com ni majambazi wazoefu wa wizi kwenye pump. Mwenye Mali mwizi, wafanyakazi wezi X2.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mliopo au mnaoishi nchini Ubelgiji hapa kuna ukweli wowote?

    Hata mimi nilishangaa eti Belgium? Of all the places?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji Msikiti kwa kuvizia maana yake nini?

    Kikwete alibarikiwa kwa wizi? Acha upuuzi. Hakuna jengo la miaka 60 Makondeko. Road reserve haina cha msikiti wala kanisa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde CCM!, Kakobe Has Powers!, Akisema CCM ni adui wa Mungu, 2020 CCM Haitapata Kura Milioni 10 za Walokole!.

    Kakobe ni meepesi kama pamba, si lolote si chochote. 1995 alisema ameoteshwa Rais atakuwa Mrema, mpuuuzi tu fulani DJ wa Temeke. Juzijuzi kamwambia Ngeleja nguzo za umeme zisipite kwake, (Ubungo-Victoria HT) zilipita. Mpuuuzi mpuuzeni tu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

    Bethlehem, iko Yuda. Nchi takatifu BC. Sio Palestine. Ni maili 10 kutoka Jerusalem, pia maili 20 kutoka Salt Lake. Wafilisti waliishi maili 40 kutoka Yuda alikozaliwa Yesu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni vema Serikali ya Tanzania ikairejesha pia NBC

    Una njama na Mkono
Back
Top Bottom