TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

RIP afande Mlay. Buhemba ulitukomesha na kilimo cha pamba
 
Alikuwa anawapenda wapiganaji chini yake. Anabaki katika historia kama CO pouwa sana
Walikuwa majembe pamoja ns Col. Mtono aliyewahi kuwa CO. Mgambo Tanga. Nakumbuka kuna wakati alipita Mgambo, tulikuwa parade,akashuka kutusalimia. Wakati huo Co. Mtono,mwenyeji naye akafika. Dah,ilipendeza walivyosalimiana kikakamavu. RIP Kamanda. Mungu amekupenda zaidi
 
Alikuwa ni Mkuu wetu wa Kikosi tukiwa Mafinga - tulipopita pale kwa Mujibu wa Sheria - RIP Colonel.

Mkuu ulipita lini pale. Mi pia nimepita pale. Nakumbuka kamsemo kuwa makanali wapo wawili Afrika, yeye na Gaddafi. RIP Col. Mlay.
 
Wanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga.
Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao Kawawa Kirua Vunjo Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

screenshot_2018-01-25-14-53-44-png.684111
Where are his kids?
 
Tulikwenda kufanya kazi nyumbani kwake Mafinga, alikuwa na wageni aliwachinjia mbuzi, baada ya kutuona tupo nje akatukatia mguu wa mbuzi akasema mtajua wenyewe kwa kuchomea, ila mkitaka mnaweza kula mbichi, akakata sehemu ya nyama akala mbichi
[emoji23][emoji23][emoji23]Was such a funny guy eeh!!??
 
Siku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA
Umenikumbusha mbali...nilikua najiuliza nilikutana nae wapi kwani nilipita kambi nyingi JKT, nilikua Op. Miaka 25 ya JKT...sikujua nilikutana nae Masange,Buhemba au Makutupora...nafikiri alitoka Masange akaenda Buhemba... Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi...Amin
 
Siku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA

Kuruta walikuwa kwenye zoezi la kunyakua kutoka usawa wa kombania kwenda usawa wa guduria, walipo simama afande mmoja akatoa amri hakuna kuhema kwa nguvu, Col. Mlay akasikia akamjibu yule afande "kuhema na kupumua ni haki ya askari"
 
Makambi ya town yalikuwa ni shida tupu kwa kubeba mapololo. Hata Mgulani mambo yalikuwa ni hayo. Ruvu kwa Lt. Col. Urio RIP msosi ulikuwa mzuri sana alidhibiti mapololo.
Mapololo yalizibitiwa baada ya kuja wadhabuni, kabla ya hapo wapishi walikuwa wanawaita watoto wao wanakuja kuchukua pololo nyama, Mchele, mafuta, maharage, mikate maziwa ya unga.
 
Au ni nyuma yake mbele yetu ,sisi tulio bado maana Siku moja tutamfuata
 
Back
Top Bottom