Ni vema Serikali ya Tanzania ikairejesha pia NBC

Yaani irudishwe NBC wakati Mkapa huyo huyo ndie aliewaletea Maghufuli ? Inaweza ikarudishwa mengine ila siyo NBC
, rais ni mnafiki sana anakata sehemu moja tu asubirie hukumu ya karma.
Ye ameshakuwa Rais itakuwa ajabu kama Magu ataendelea kumuogopa Mkapa ambaye Sasa hivi hana mamlaka yeyote.Airudishe tu kwa kweli
 
Haiwezi kushughulikiwa u'r waste your time Nyerere pamoja na ukali wake wote lakini alishindwa ataweza shamba boy , mkapa ni mhaini angefaa aondolewe huko nchini arudi kwao msumbiji jinga sn
Nyerere alikuwa Mkali lkn kwa kipindi cha Mkapa hakuwa Rais.Hivyo ukali wake ulikuwa hauna maana Wala nguvu yeyote.Vivyo hivyo ni Magu Na Mkapa.Mkapa hata kama ni Jeuri lkn jeuri yake kwa Sasa Haina maana kwa Kuwa si Rais tena.
 
Mkuu Mkapa mwanafunzi wa Nyerere alibebwa na Mwl Nyerere hadi akaukwaa uraisi bila jasho.Lakini vioja alivyofanya kwa miaka 10 ni afadhali ya utawala wa kikoloni wa Jerumani na British kwa pammoja.
Mkapa Na Magu Wana silika zinazofanana.Kwa hiyo tutegemee nini
 
Wakuu natanguliza salamu za sikukuu , Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania , ninayo haki ya kushauri mambo mazuri yanayopaswa kufanywa na Serikali yangu .

Nimeona na natambua juhudi za serikali za kuirudisha mikononi mwa umma kampuni ya simu ya Celtel , Zain na sasa Airtel waliyouziwa watu wasiojulikana kwa gharama ya kutupa isiyozidi Tsh elfu 10.

Naomba Iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara ambayo mauzo yake yalimtoa machozi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ilirejeshwe tena mikononi mwa umma .

Miaka michache huko nyuma tuliwahi kurejesha mali zetu zilizoporwa kama vile Tanesco na TRL , hili pia tutaliweza tu.

Mungu ibariki Tanzania .
Mkuu, ni vyema kwanza tuone hili ka Airtel linaishia wapi.
Tutajenga uzoefu kwa mashirika mengine.
 
[QUOTnE="rodrick alexander, post: 24991211, member: 70803"]umeshauri kama mwananchi wa kawaida mwenye uchungu na nchi yako ila watu wenye akili fupi wameshaingiza ushabiki wa vyama ambao hausaidii lolote pale rais anapofanya jambo zuri tumuunge mkono na pale anapokosea au kupotoka tumkosoe bila kuingiza itikadi zetu za siasa[/QUOT
Na ajabu ni kwamba Rais akilishughulikia hili suala la NBC ,wale wale wanaojiropokea ujinga humu wataanza kupongeza,wapumbavu kabisa.
 
Kwani Uzi umejileta wenyewe hapa!? Acha UZANDIKI uchwara wewe!
Kila kukicha humu unaishambulia serikali ya awamu ya tano kwa matusi na kejeli za ajabu. Leo hii umepatwa na kipi mpaka uingiwe na unyenyekevu wa kiwango cha Standard Gauge!?
Shubaaaaambiiiiit!
Wewe una hati miliki ya serikali kiasi cha kukemea watanzania wenzako juu ya serikali yao? Punguani!
 
Nilishasema wakulaumiwa Ni wenye viti WA ccm waliopita ambao Ni mwinyi mkapa na kikwete na baadae mafufuli..hawa wote tukiwa serious kama taifa hukumu ya kunyongwa hadi kufa haikwepeki
 
Back
Top Bottom