Kisheria ndoa inatangazwa siku 21 huwezi ukatangazwa miezi mitatu. Pili kuna semina za wanandoa na mwenye leseni ya ndoa ndio anaewapa semina wana ndoa na ndie anaefungisha ndoa je siku zote hakuona huo ujauzito?. Yapo makanisa yapo so strict kwanye hilo utaambiwa nenda bomani ukafungiwe ndoa
Dini ipi ambayo haijagawanyika na haina chuki taja moja tu nami nitakuonyesha madhaifu with evidence. Ila usitaje uislam maana huo ndio uozo wa chuki miongoni mwao na hatari kuliko dini nyingjne maana wana madhehebu mengi na wana chuki wazi wazi kwa kuchapa hata dibaji kwenye kitabu chao...
Big point.
Kwanza unaweza fanya temporarily drawing
Vijana wapo wengi waliosoma pale mlimani . Waende kwa mkuu wa wilaya waseme sisi tunataka tudesign jangwani then
Wazungukie pale jangwani kwa ukaguzi alafu waanze michoro hata kama sio yenye vipimo kamili lakini just beginning kwamba hapa...
Wandugu habari za wakati huu.
Kwa mwezi huu wa tano na kuendelea tunaona mambo yamebadilika kwasababu ya kupanda kwa mafuta huko katika Dunia ya kwanza .
Hali hii imeathiri sana maisha yetu walala hoi hasa wenye kipato cha chini.
Wandugu naomba kuuliza Tanzania tumejaaliwa rasilimali za asili...
Kama tumeweza kujenga standard Gauge why not this one.
1. Hatuna maono ya nchi
Inamaanisha nini siasa zimeharibu taaluma na wenye taaluma nao wamekimbilia siasa na kuharibu taaluma vilevile.
Its very possible kutafuta muwekezaji kama mchina akatengeneza viingilio akapewa yeye sisi tukakusanya...
Gesi mtwara inatuingizia kiasi gani, makaa ya mawe mchuchuma yanatuinyizia kiasi gani, dhahabu kakola, buzwagi, buhemba , nyamongo inatuingizia kiasi gani, tanzanite’s inatuingizia kiasi gani, samaki ziwa victoria ziwa Tanganyika na bahari kuu inatuingizia kiasi gani. Viwanda vingi vimekufa kama...
Mungu atusaidie kwakweli inatia kinyaa sana . Huwa najiuliza vijana walipo kwenye system are real royal to their nation?
Yaani tunapaswa kuona vijana wanaoingia kwenye system sio wanachama lakini wazalendo kwa nchi sio kwa chama. Kuwe na maono ya nchi kwamba miaka mitano tunataka kutoka hapa...
Tatizo la mmiliki mmoja aki dominate one day ataiuza nchi . Kinachopaswa ni serikali kama haina fedha ni kuingia mkataba tu kwamba jenga endesha kwa miaka kadhaa kama ilivyo eneo la mliman city eneo la chuo kikuu amejenga mwingine anasimamia kwa miaka kadhaa then baada ya hapo itakuja kuwa mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.