Recent content by Paschal112

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Julius Malema atia neno kuhusu Magufuli

    Nadhani uliahidiwa 10% ndio maana unaipigia debe , sie watanzania hatutaki bandari inayowafaidisha wachina watanzania tunalala njaa, kama unawataka hao wachina wape eneo nyumbani kwako wafanye hivyo, lakini sio huko Bagamoyo.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayofanyika CHADEMA ni heri katiba ya nchi ibadilishwe Magufuli atawale mpaka achoke mwenyewe

    Wewe kibaraka huoni kuwa ni ubakaji wa demokrasia na ni udikteta unaofanywa kwa mgongo wa wakati mgumu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

    jaji mfawidhi, Iko siku mkijua afanyayo Mbowe mtamuweka kwenye Crusher asagwe mpaka abakie unga, mnajificha nyuma ya keyboard mkichnganya watu kwa uongo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Rushwa: David Kafulila alalamikiwa na Wazabuni kwa TAKUKURU

    Watu wa Mbeya kwa majungu na fitina nani asiye wajua mpaka Mkoa wa Mbeya kwa sababu ya Umbeya wenu acheni ubinafsi mtu akija mgeni mnapenda kumfitinisha .Punguzeni ukabila nyie
  5. P

    JamiiForums Tanzania Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

    Hivi nyie mpo Tanzania au mpo ughaibuni maana mnayoandika hayaakisi akili za mtu timamu , vitu kwa macho mnaona halafu mnajifanya hamuoni hivi hamuoni hata Mungu atawaadhibu kwa kupinga ukweli.Wapingaji naona sasa akili zimewaruka na mnachanganyikiwa baada ya kuona mafanikio ya JPM. Na bado...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

    Sasa ukiwabana ili wakuthibitishie utashangaa, sijui watu wana akili gani
  7. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

    Kunyamaza saa ingine ni hekima mbona wewe umesema na unataka wenzio wakae kimya, halfu wewe kila jambo unataka uwe unatoa maoni mbona huheshimu mawazo ya wengine.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Vurumai kwenye Uchaguzi wa Mitaa, Ukimya wa JPM, Je huku si kupotoka kwa Serikali kwenye dhamana ya Umma?

    Watanzania tumechoka maneno tunataka maendeleo , swaga zenu pelekeni vijiweni huko.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Kichaa anaongea na takataka ngoja nikae kimya tu maaana nitaonekana na mie nafanana na taahira
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Nadhani uliongea na kichaa na wala si binadamu wa kawaida , unajua kodi ya kichwa watu walikimbia porini na mengineyo mengi au uliyekuwa unamuuliza ni katoto ka juzi
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Ni kwa nini hawa watu hawapendi kufuata utawala wa sheria? ajabu kabisa halafu unakuja kulalama kuwa kuna uonevu , ni nchi gani duniani isiyofuata utawala wa sheria .Ndio maana hata demokrasia hawana hata katika vyama vyao.
  12. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT-Wazalendo nani kawalengesha?

    Sasa umeandika ujinga gani wakati wewe pia ni mwafrika
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Hawa jamaa ni wa ajabu kabisa maana unataka Demokrasia halafu hutaki utawala wa sheria ndio maana yake nini , wanataka huruma kutoka kwa wananchi hilo wasahau hawa.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Kwa kweli akili zako zinafanana na jina lako maana hujui ukiandikacho
Back
Top Bottom