Unatumia kipimo gan kujua hii hoja ni kipumbavu au siyo ya kipumbavu! Hicho kipimo ni mwafaka katika kipindi hiki uhuru wa mawazo huria?Ndani ya demokrasia ukitoa mawazo ya kipumbavu utaambiwa mpumbavu waziwazi bila kupindisha maneno! Unachotakiwa kufanya ni kutoa mawazo yako bila bila kukejeli au kukandia mawazo au maamuzi ya wenzako!