Recent content by Pascalzebalozi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Yes unayo haki ya kumshitaki kama amekufukuza pasipo kuwa na sababu ya msingi na bila kukupa room ya kusikilizwa kabla ya uamuzi. Kwa mwajiriwa ambaye umefanya kaz kwa miez mitatu tu unaweza kushtaki kwa kitu tunaita kitaalam unfair labour practice.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale nauza kiwanja vikindu bei poa sana

    Weka bei basi khaa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sina mkataba wa kazi lakini naambiwa natakiwa kulipa kodi

    Peleka malalamiko yako kwa afisa was ajira (labor officer) was wilaya uliyopo wao wana mamlaka ya kusikiliza malalamiko ya waajiriwa. Ukihitaji msaada zaidi nichek
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nanunua ufuta kiasi chochote kinachopatikan

    Habari wadau, Kwa yeyote ambae analima ufuta au anafahamu mkulima mkubwa wa ufuta naomba tuwasiliane. Nanua kuanzia tani 1-10 kwa mkupuo. Uwe ni ufuta wa mbegu nyeupe. Aksante. Contact 0686475955
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Wakuu nani anafaham wanapikodisha sowing machines and fertilizer application machines ?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tunachukuwa order za wanao taka kukodisha TREKTA alimiwe msimu huu

    Mkuu nauliza mnatoa huduma za excavator ? Nahitaji kwa haraka, nicheck via 0717425183
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tractor za kukodi na excavators

    Wasalaam wakuu, Naomba kwa wenye uzoefu na kampuni za kukodi tractor, excavators pamoja na vifaa vya kupalilia (weeding machines) anisaidie. Mimi nipo dar es salaam ila shamba liko mkuranga. Aksanteni
  8. P

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Mwisho wa promo ni lini mkuu?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Samsung A7 ya 2016 waterproof

    Tangazo uweke humu halafu picha whaatsap[emoji34]
  10. P

    JamiiForums Tanzania Shamba liko sokoni eka 14

    Linakubali kilimo cha nanasi?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber anahitajika

    Habari wadau, Natafuta dereva wa uber. Awe tayari kuendesha gari kwa mkataba baada ya mda tutakaokubaliana gari inakuwa yake. Aksante Mawasiliano 0717425183. Only for serious drivers
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nina million 7 nahitaji Spacio new model au IST

    Mkuu ingia kupatana.com search IST au spacio zitakuja nyingi tu uchague. Pia kwa uzoefu wng nakushaur usiangalie no. Kama ni namba D au C angalia engine ya gar na mambo mengine kama mileage na past user's experience eg women drive nk
  13. P

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Hii cc ngp na mileage ngp mkuu?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Samsung laptop and iPad new model for sale

    Laptop unaweza kutumika kama iPad pia. Laptop ni core i 5, Ram 4GB HDD 120, inatunza chaji zaidi ya masaa kumi. If interested call 0717425183. Bei ni shiling 600,000 Karibuni
Back
Top Bottom